Haya mawazo huwa nayawaza sana sana, yani kwamba vile mmekua majirani tu kuna kulazimishana mahausiano fulani ambayo mimi siko tiyari. Yan mtu hana muda na maisha yake, kila wakati anataka kujua umekaa na nani, unaongea na nani. Sasa mimi nachukia nikigundua hii hali.Mkuu oa wadada & wamama wa sasa hivi wanasaka watu wa kuzini nao kinguvu
Naogopa kubeba roho walizobeba kutoka kwa watu wengine wakati wa kwichkwich.Chapa mmoja baada ya mwingine uweke heshima hapo mtaani
Huo mvuto umekuja ghafla juzi tu,kama alikuwa nao tangu zamani hajazoea tu hiyo hali?Mleta mada japo utabezwa sana humu lakini ukweli lazima uwepo.mambo kama hayo yapo mara nyingine unakuta hata ukienda sehemu ambayo hamna anayekujua ila nilichokuja kugundua hali hii inatokea mtu anapokuwa ana mvuto
Sasa wewe hata ukiwa na hao wazungu pakua kama vile ulivyopakua majuzi ndiyo uajua mind your business ilivyo ngumuBro hiyo kitu haupo nayo wee tuu..
Mi huwa watu wananishangaa hadi naishtukia.
Kuna muda mwingine mtu anakuangalia hata ukiwa unakula hadi unahisi kitu kibaya kitakutokea!!hata kuumwa tumbo.
Sipendi hiyo tabia.
Waswahili tuna hizo tabia sana.
Unakuta mmepakua chakula sehemu lakini mtu anaangalia kiasi ulichopakua wee!kama anakuzonga fulani hivi.
Wazungu wako na TABLE MANNERS sana huwa hana muda wa kutizama mtu anachokula.
Waswahili hatuna TABLE MANNER kabisaaaaa
Kwani umevaa vile visuruali vinavyobana vilivyochanwachanwa kwenye magotiKuna mahali niko na watu wengine kila mtu ana shughuli yake, Lakini kuna jambo nimeligundua jirani zangu wanakaa muda wote kunitizama mpaka wananinyima amani, ukiwaangalia ni watu na waume zao sijui wanakosa nini kwenye kwenye nafsi zao.
Kwa upande wangu mimi siyo muongeaji sana, muda mwingi niko na shughuli zangu, sasa nikija kugeuka nakutana na macho kama yote, hali hii mimi siipendi, kwanini lakini?
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Kuna mahali niko na watu wengine kila mtu ana shughuli yake, Lakini kuna jambo nimeligundua jirani zangu wanakaa muda wote kunitizama mpaka wananinyima amani, ukiwaangalia ni watu na waume zao sijui wanakosa nini kwenye kwenye nafsi zao.
Kwa upande wangu mimi siyo muongeaji sana, muda mwingi niko na shughuli zangu, sasa nikija kugeuka nakutana na macho kama yote, hali hii mimi siipendi, kwanini lakini?
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Piga rungu wote haoKuna mahali niko na watu wengine kila mtu ana shughuli yake, Lakini kuna jambo nimeligundua jirani zangu wanakaa muda wote kunitizama mpaka wananinyima amani, ukiwaangalia ni watu na waume zao sijui wanakosa nini kwenye kwenye nafsi zao.
Kwa upande wangu mimi siyo muongeaji sana, muda mwingi niko na shughuli zangu, sasa nikija kugeuka nakutana na macho kama yote, hali hii mimi siipendi, kwanini lakini?
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Hapana ninavaa kiofisi zaidi.Kwani umevaa vile visuruali vinavyobana vilivyochanwachanwa kwenye magoti
Kama ni wanawake wanatazama Sana ujue wamekutamani ukiutumia udhaifu wao unaweza jikuta unastock kubwa ya papa
Kwa hiyo utakuwa HB flani amazing au sio!Naogopa kubeba roho walizobeba kutoka kwa watu wengine wakati wa kwichkwich.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app