Hivi ni kawaida watu kukutizama sana kila wanapopata nafasi

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,655
Kuna mahali niko na watu wengine kila mtu ana shughuli yake, Lakini kuna jambo nimeligundua jirani zangu wanakaa muda wote kunitizama mpaka wananinyima amani, ukiwaangalia ni watu na waume zao sijui wanakosa nini kwenye kwenye nafsi zao.

Kwa upande wangu mimi siyo muongeaji sana, muda mwingi niko na shughuli zangu, sasa nikija kugeuka nakutana na macho kama yote, hali hii mimi siipendi, kwanini lakini?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Like me yesterday everyone was looking at me mpk nikawa namimi najiangalia till i asked myself do I look like nungunungu..??!!

But crazily nikakutana na kadada fulani simjui ila akanikazia macho! Nami nikamkazia ujicho!,sikuwa namshangaa but nilikuwa najaribu kumsoma huyu kaniangalia kunifananisha..? Or is she know me! Wakati nawaza hayo wakati huohuo kichwa kina process nimsalimu salamu gani! Kabla sijafanya hivyo akaniwahi kunisalimu yeye!!. Baada ya kumpita sikushighulika nae tena sometimes shit happen na mpk hapo sikuona mwengine ananikodolea mijicho!.
 
Bro hiyo kitu haupo nayo wee tuu..
Mi huwa watu wananishangaa hadi naishtukia.
Kuna muda mwingine mtu anakuangalia hata ukiwa unakula hadi unahisi kitu kibaya kitakutokea!!hata kuumwa tumbo.

Sipendi hiyo tabia.
Waswahili tuna hizo tabia sana.
Unakuta mmepakua chakula sehemu lakini mtu anaangalia kiasi ulichopakua wee!kama anakuzonga fulani hivi.

Wazungu wako na TABLE MANNERS sana huwa hana muda wa kutizama mtu anachokula.

Waswahili hatuna TABLE MANNER kabisaaaaa
 
Ile kufagia uwanja asubuhi, Mtu atafagia hapo eneo kidogo la meza, nusu saa itaisha ili mkutanishe macho.

Wengine wanataka kila wanachoongea nikisikie wakati hawazungumzi na mimi.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Kuna mahali niko na watu wengine kila mtu ana shughuli yake, Lakini kuna jambo nimeligundua jirani zangu wanakaa muda wote kunitizama mpaka wananinyima amani, ukiwaangalia ni watu na waume zao sijui wanakosa nini kwenye kwenye nafsi zao.

Kwa upande wangu mimi siyo muongeaji sana, muda mwingi niko na shughuli zangu, sasa nikija kugeuka nakutana na macho kama yote, hali hii mimi siipendi, kwanini lakini?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Kuna mahali niko na watu wengine kila mtu ana shughuli yake, Lakini kuna jambo nimeligundua jirani zangu wanakaa muda wote kunitizama mpaka wananinyima amani, ukiwaangalia ni watu na waume zao sijui wanakosa nini kwenye kwenye nafsi zao.

Kwa upande wangu mimi siyo muongeaji sana, muda mwingi niko na shughuli zangu, sasa nikija kugeuka nakutana na macho kama yote, hali hii mimi siipendi, kwanini lakini?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Ujue kuwa umeupiga mwingi hakuna namna
 
Macho yanaongea, bahati mbaya unashindwa kusoma macho yao yanakwambia nini. Jinsi ulivyoandika hao ni wanawake wanakuangalia sasa wewe umeshindwa kusoma macho yao.
 
Back
Top Bottom