Hivi ni kawaida kupata hamu ya kumpa mwanamke ujauzito?

okoyoko

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
2,674
2,000
Hello guys,

People dont confuse this desire na hamu ya ngono (nyege), kuna saa mwili unaweza ukawa na hamu ya kumpa mimba mwanamke fulani.

Wakati in a logical sense hutaki mpa mimba huyo mwanamke coz huna uwezo wa kuhudumia mke na watoto kifedha, its a weird desire coz haihusiani na nyege wala love, hivi kwa wanaume wengine humu ishawahi watokeaga?

Nawasilisha
 

sumbai

JF-Expert Member
Jun 16, 2014
15,213
2,000
Kama unaweza basi umpe hiyo mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu bila kuunganisha vikojoleo.

N.b acha kukwepa bili za christmass
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom