hivi ni kabila gani Tz ambalo wakikutusi roho inauma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi ni kabila gani Tz ambalo wakikutusi roho inauma

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by MUREFU, May 9, 2012.

 1. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  wanathinker habari zenu hivi nilikuwa ninauliza ni kabila gani Tz ambalo wakikikutusi roho inauma sana kuliko makabila mengine?
   
 2. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160

  ile kusoma tu post yako, tayari roho inaniuma. Hivi wewe kabila gani?
   
 3. Wa Nyumbani

  Wa Nyumbani JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 432
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Sijawahi kutukanwa kilugha. Aliyewahi kutukanwa atujuze.
   
 4. M

  Midavudavu JF-Expert Member

  #4
  May 9, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sipendi tusi la wazaramo" nyani kasoro mkiya we"
   
 5. Typhoid

  Typhoid JF-Expert Member

  #5
  May 9, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahahaaaaa tombanyoko!!!!!!! Imekuuma!
   
 6. Eghorohe

  Eghorohe JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mie binafsi tusi la kikurya linaniuma sana nilienda field huko nikatukanwa kuna mtu alinitafasiria,wanatukana ee-mboro enoh,simply wewe ni mboro,wewe ni kenge.
  Kwa kikurya mboro ni kenge!
   
Loading...