wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 24,688
- 26,796
Nimekua najiuliza sana haya maswali nashindwa kujua au ni mojawapo ya sheria zao!yaani utakuta kituo kina umeme lakini ukipita usiku unakuta hata taa haziwaki!hivi ni kwa nini hata baadhi ya sehemu nyingine hata kama waya za tanesvo zimepita juu ya mabati ya kitou hawaweki umeme hivi kwa nini!!