Hivi ni halali mfumo wa Elimu kuchezewa na watu wachache waliopewa Dhamana?

Wrw
Haya ndiyo mambo yanayosababisha wanafunzi wasifikie ndoto zao kufika juu.Maana ujuzi walioupata hautaendelezwa.Wakiupeleka huu ujuzi kwenye ualimu wangine watasema walimu ni watu waliofeli.Ni vibaya kumpa mtu maarifa halafu asiyatumie kufikia malengo.

Wewe unataka watu wafikie malengo yao kikanjanja?
 
Mkuu umeongea mengi na umeeleweka ila kwa nini wale waliomaliza form six 2008_2013 walienda chuo wakiwa na principal pass mbili za " E" je kuna umuhimu wowote waondolewe makazini au walioko vyuoni wafukuzwe kama wale wa UDOM
Kasome muongozo wa TCU utaelewa kuwa wana mandate ya kufanya maboresha umesahau kuna walio ingia wakiwa na GPA? MABADILIKO YAMEFANYIKA SASA MUYAFANYIE KAZI!
 
Wameingiza siasa kwenye Elimu. Amna anaetumia ripoti za research kufanya maamuzi. Wizara ya elimu ikae chini ipitie mapendekezo yote na waunde mfumo unaofaa, sio kila mwaka wanakuja na jipya.
 
Nimesoma huo muongozo na nimeulewe hao wa GPA walikuwa 2015/2016 tu.Naomba unieleze huu muondo mpya umezingatia vigezo gani kuweka A ianzie 80 kwa form six,tifauti na zamani ilipoanzia 75?.
 
Mkuu research imefanyika na kubainishwa kuwa ili kuboresha elimu lazima viwango vya ufaulu viboreshwe. sasa wewe unachotetea ni nini? unataka elimu isiboreshwe?
 
Kwahiyo mkuu nyie mliomaliza kwa D_45_55,A inaanzia 75 elimu haikuwa bora?.
 
Nimesoma huo muongozo na nimeulewe hao wa GPA walikuwa 2015/2016 tu.Naomba unieleze huu muondo mpya umezingatia vigezo gani kuweka A ianzie 80 kwa form six,tifauti na zamani ilipoanzia 75?.
kigezo cha kutoa A kutoka 75 hadi 80 ni kuboresha elimu. wewe unataka elimu yetu iendelee kuwa duni hadi lini?
 
Nimekuuliza wewe uliemaliza kwa A kuanzia 75,na D kuanzia 45 elimu haikuwa bora?.
 
mkuu masomo tuliyosoma hayakuwa rahisi kama haya ya sasa...haya ya sasa yamerahisishwa mno.
Mkuu nyie mlisoma masomo gani?,tofauti na ya sasa?.

Mie nilisoma enzi hizo pure1&2,tranta,pia nikasoma Up,nelkon,chand enzi hizo 2012.Sasa sijui wewe ulisoma masomo yapi?,ambayo yamebadilika.
 
Wanatakiwa vijana waende vyuo vya kati ambavyo vinaandaa wazalishaji na sio watawala.Degree watasoma baadaye.Vyuo vya kati ni vngi na wanafunzi wanapewa ujuzi kuliko vyuo vikuu.
 
Umeongea kitu kinacho sound,lakini je hayo malaki na mamilioni ya huko watanzania wangapi watayaumudu.
 
Serikali ilichokifanya ni cha ajabu sana, kwanza TCU walupaswa kutoa grace period ya changes hizi na changes hizi zilitakiwa zianze mwakani na si mwaka huu.
pili vyuo vingi vitakosa wanafunzi jambo litakalo pelekea vyuo vingi kufungwa au kubadili matumizi, binafsi nafikiri serikali inapaswa kubadilika isi focus zaidi kwenye Alama bali iangalie zaidi uwezo husika wa mwanFunzi kwa kupata A haimanishi kuwa ndo unalimdu hilo somo, na ndio maana kwa serikali zetu hizi kukazania alama ndo maana baadhi ya shule wanaiba mitigani.
tatu TCU wabapaswa kutoa taarfa vizuri na wafafanue vizuri yupi anastahili kwenda chuo na awe cut point gani.
 
Yaelekea mleta uzi hujajua malengo ya serikali ya 5, ni hivi : wote mkienda university na baadae mkakosa ajira mnakuwa wasumbufu mtaani, elewa kuwa ni rahisi sana kwa mtu wa elimu ya chini kupata ajira au kufanya biashara zake kuliko aliyemaliza university.upanuzi wa goli uendane na upanuzi wa viwanda/ajira.
 
Umesomeka mkuu lakini wameshachelewa.
 
Kwa mujibu wa barua ya necta mwaka 2016 kidato cha sita mgawanyo wa alama uko kama ifuatavyo, huo mgawanyo wa mtoa mada sijui ameutoa wapi?
80-100 A
70-79 +B
60-69 B
50-59 C
40-49 D
35-39 S
00-34 F
I stand to be corrected
 
Nashukuru Mungu hizo alama hata sizijui maana sikuwahi kufikiria kupata alama zinazohitaji hisani ya maamuzi ya Waziri wa Elimu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom