Hivi ni baada ya muda gani utapigiwa simu na kuitwa kazini baada ya kufanya Interview na kufanikiwa?

sop sop

sop sop

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Messages
657
Likes
21
Points
35
Age
36
sop sop

sop sop

JF-Expert Member
Joined May 2, 2012
657 21 35
Hivi ni muda gani wa kuitwa kazini baada ya kufanya Interview na kufanikiwa,INACHUKUA SIKU NGAPI,NAOMBA KUJUA KWA WALE WAZOEFU..?
 
C

Chosen generation

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Messages
4,402
Likes
3,774
Points
280
C

Chosen generation

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2014
4,402 3,774 280
Wakiwa tayari watakuita!
 
C

Chosen generation

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Messages
4,402
Likes
3,774
Points
280
C

Chosen generation

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2014
4,402 3,774 280
huwa wanatumia muda gani...?
Inategemea na namna walivyojiandaa ku accomodate waajiriwa wapya.

Inaweza kuwa wiki 2, 4 au mwezi/miezi nk..
 
RFP

RFP

Senior Member
Joined
Jun 15, 2016
Messages
173
Likes
191
Points
60
RFP

RFP

Senior Member
Joined Jun 15, 2016
173 191 60
Duuu...ukiwa huna kazi uki apply unakuwa na hamu kama mkuu APA, nakumbuka enzi zile natafuta kazi nikifanya interview nakuwa mda wote niko online simu ikiita macho hayooo...afu baada ya wiki 3 wanatoa matokeo simooo..duuuu! Mdau kwa utumishi Wa umma inachukua after 3 weeks, but unawezaukakuta mmekaa hadi miezi 3-4, kwa mashirika inategemeana ...kuwa na subira tu, unaweza sometimes ukaitwa hata mwakani ....ila kuondoa stress inafaa una apply nyingi afu ukifanya interview unajisahaulisha unakuwa unakomaa Ku apply nyingine..usiwekee % zote kupata kazi baada ya kufanya interview labda uniambie ulifanya interview yenye "MACHO"
 
maringeni

maringeni

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Messages
3,010
Likes
3,331
Points
280
maringeni

maringeni

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2013
3,010 3,331 280
Mi nilishinda interview SIDO ya Management accountant miaka ya 90 wakanipa barua ya kuniambia nimeshinda na wataniambia tarehe ya kuripot kuanza kazi. Mpaka leo hawaniambia. We wiki tu uko humu !!!
Endelea na maisha. Wakija sawa wasipokuja sawa!!
 
Aurthur

Aurthur

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2016
Messages
2,666
Likes
1,921
Points
280
Age
14
Aurthur

Aurthur

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2016
2,666 1,921 280
Mi nilishinda interview SIDO ya Management accountant miaka ya 90 wakanipa barua ya kuniambia nimeshinda na wataniambia tarehe ya kuripot kuanza kazi. Mpaka leo hawaniambia. We wiki tu uko humu !!!
Endelea na maisha. Wakija sawa wasipokuja sawa!!
we jamaa
 
Dr. Wansegamila

Dr. Wansegamila

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Messages
1,519
Likes
1,388
Points
280
Dr. Wansegamila

Dr. Wansegamila

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2012
1,519 1,388 280
Hivi ni muda gani wa kuitwa kazini baada ya kufanya Interview na kufanikiwa,INACHUKUA SIKU NGAPI,NAOMBA KUJUA KWA WALE WAZOEFU..?
Kwa kampuni zilizostaarabika, wakati wa inteeview watakwambia kabisa labda ndani ya wiki mbili tutakupa taarifa kama umefanikiwa au hujafanikiwa. Na kweli ndani ya muda huo utapata feedback ya ama kuambiwa umefanikiwa na kuelezwa kuhusu kinachofuata, au a regret e mail kuwa hujafanikiwa, wishing you all the best. Kwa bahati mbaya sana, asilimia kubwa sana ya makampuni ya Kitanzania hayajastaarabika, kwa hiyo si tu kwamba hawatakwambia ni muda gani utapata response' bali pia usipofanikiwa kuchaguliwa hawatakutaarifu kuwa hujafanikiwa, endelea na mambo mengine.
Ila kiujumla katika dunia yetu hii ya kukosekana uataarabu, kwa makampuni binafsi inaweza ikachukua muda wowote kati ya wiki 1 - 4 , serikalini ndo inaweza kuchukua hata miezi sita. Vumilia tuu mkuu, ni kipindi cha mpito tuu. sop sop
 
Naantombe Mushi

Naantombe Mushi

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Messages
2,030
Likes
2,491
Points
280
Age
28
Naantombe Mushi

Naantombe Mushi

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2015
2,030 2,491 280
Wakijiskia watakuita, hainaga mda maalum.
 
kidunula1

kidunula1

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2016
Messages
1,738
Likes
1,248
Points
280
kidunula1

kidunula1

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2016
1,738 1,248 280
Kwa kampuni zilizostaarabika, wakati wa inteeview watakwambia kabisa labda ndani ya wiki mbili tutakupa taarifa kama umefanikiwa au hujafanikiwa. Na kweli ndani ya muda huo utapata feedback ya ama kuambiwa umefanikiwa na kuelezwa kuhusu kinachofuata, au a regret e mail kuwa hujafanikiwa, wishing you all the best. Kwa bahati mbaya sana, asilimia kubwa sana ya makampuni ya Kitanzania hayajastaarabika, kwa hiyo si tu kwamba hawatakwambia ni muda gani utapata response' bali pia usipofanikiwa kuchaguliwa hawatakutaarifu kuwa hujafanikiwa, endelea na mambo mengine.
Ila kiujumla katika dunia yetu hii ya kukosekana uataarabu, kwa makampuni binafsi inaweza ikachukua muda wowote kati ya wiki 1 - 4 , serikalini ndo inaweza kuchukua hata miezi sita. Vumilia tuu mkuu, ni kipindi cha mpito tuu. sop sop
Ulivozungumzia ustaarabu nimekumbuka nilivyo apply kazi flan unhcr mwaka jana mwezi wa kumi na moja wakaja nipigia cm mwaka huu mwez wa nne nikafanya nao interview lakin had leo hawajanijib chochote
 
sop sop

sop sop

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Messages
657
Likes
21
Points
35
Age
36
sop sop

sop sop

JF-Expert Member
Joined May 2, 2012
657 21 35
Kwa kampuni zilizostaarabika, wakati wa inteeview watakwambia kabisa labda ndani ya wiki mbili tutakupa taarifa kama umefanikiwa au hujafanikiwa. Na kweli ndani ya muda huo utapata feedback ya ama kuambiwa umefanikiwa na kuelezwa kuhusu kinachofuata, au a regret e mail kuwa hujafanikiwa, wishing you all the best. Kwa bahati mbaya sana, asilimia kubwa sana ya makampuni ya Kitanzania hayajastaarabika, kwa hiyo si tu kwamba hawatakwambia ni muda gani utapata response' bali pia usipofanikiwa kuchaguliwa hawatakutaarifu kuwa hujafanikiwa, endelea na mambo mengine.
Ila kiujumla katika dunia yetu hii ya kukosekana uataarabu, kwa makampuni binafsi inaweza ikachukua muda wowote kati ya wiki 1 - 4 , serikalini ndo inaweza kuchukua hata miezi sita. Vumilia tuu mkuu, ni kipindi cha mpito tuu. sop sop
Nashkuru mkuu kwa ushauri wako maana ajira sasa zimekuwa ngumu kwelikweli
 
PAZIA 3

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Messages
794
Likes
706
Points
180
PAZIA 3

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2018
794 706 180
Usipopewa mrejesho-utakuwa na pressure mno
 
B

Bakariforever

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2017
Messages
328
Likes
290
Points
80
B

Bakariforever

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2017
328 290 80
Duuu...ukiwa huna kazi uki apply unakuwa na hamu kama mkuu APA, nakumbuka enzi zile natafuta kazi nikifanya interview nakuwa mda wote niko online simu ikiita macho hayooo...afu baada ya wiki 3 wanatoa matokeo simooo..duuuu! Mdau kwa utumishi Wa umma inachukua after 3 weeks, but unawezaukakuta mmekaa hadi miezi 3-4, kwa mashirika inategemeana ...kuwa na subira tu, unaweza sometimes ukaitwa hata mwakani ....ila kuondoa stress inafaa una apply nyingi afu ukifanya interview unajisahaulisha unakuwa unakomaa Ku apply nyingine..usiwekee % zote kupata kazi baada ya kufanya interview labda uniambie ulifanya interview yenye "MACHO"
Duuuu hapo umetugusa wengi sanaaa be blessed 🙏🙏🙏🙏
 
ziloi

ziloi

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2018
Messages
400
Likes
400
Points
80
ziloi

ziloi

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2018
400 400 80
Mi nilishinda interview SIDO ya Management accountant miaka ya 90 wakanipa barua ya kuniambia nimeshinda na wataniambia tarehe ya kuripot kuanza kazi. Mpaka leo hawaniambia. We wiki tu uko humu !!!
Endelea na maisha. Wakija sawa wasipokuja sawa!!
Dah! wewe tegemea tu pension yao kabsa. Maana barua ya ajira unayo. Hahaas
 
Forum statistics

Threads 1,239,121
Members 476,369
Posts 29,343,328