Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,489
- 188,636
Habari.
Nikiwa nafatilia vijana hapa waandishi wa habari ni jambo zuri kuwarithisha nyanja hii ya habari na kupata watangazaji bora huko mbele.
Kipindi kupitia UTV cha Morning Trumpet naona mtangazaji amesema neno "Kushoboka" .
Nilikuwa nauliza wataalamu wa lugha yetu ya Kiswahili neno hilo ni la lugha ya Kiswahili na lina maana gani?
Nawasilisha.