Hivi NECTA kuna Watumishi Hewa na Vihiyo?

tajirijasiri

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
2,864
3,851
Nauliza tu.

Hivi kule NECTA (Baraza la Mitihani Tanzania) kuna watumishi hewa na vihiyo a.k.a Vi. La.za?

Kama wapo, ni nani amewahakiki. Na kama wamehakikiwa taarifa ya uhakiki iko wapi?

Tusijekuwa tunampa Fisi kusimamia na kuhakiki Bucha.

Nauliza tu!

Cc: Ndalichako (Waziri wa Elimu na Katibu Mtendaji NECTA wa zamani)
 
Mleta mada atakuwa ameingia kazi kwa cheti cha kufoji. Itakula kwako
 
Mleta mada atakuwa ameingia kazi kwa cheti cha kufoji. Itakula kwako
Wewe Lumumba boy, bado una mawazo wa kuajiriwa tu?
Ndio maana umejifungia kwenye PC za Chama Cha Majipu (CCM) ukineemeka na buku 7?
Wake up Lumumba boy!
 
Back
Top Bottom