tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,877
- 15,444
Huyu jamaa ule mkwara aliochimbwa na JPM wa kuwa yeyote atakaeleta fyokofyoko atashughulikiwa umemfanya ajifiche mazima,hata yale maigizo yake alyokua anayafanya na vyombo vya habari vya fisadi mwenzie{Mengi} yamekoma.
Kuna anaejua alipo huyo mtu,au ndo kuchunga ng'ombe kumemweka busy?
Kuna anaejua alipo huyo mtu,au ndo kuchunga ng'ombe kumemweka busy?