Mapambano Yetu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,124
- 2,092
Nimemshuhudia kupitia taarifa ya habari ya saa 2 usiku anaongea kama mgonjwa.
Pamoja Na kuomba watanzania waache kumsema vibaya Rais, lakini maneno karibia yote alikuwa akirudia kama yalivyokuwa yakitamkwa na aliyekuwa akimrekodi. Nadhani huyo mwandishi hakutambua kama sauti yake inasikika au alikosea kwenye editing lakini ni ajabu kwa hiki kilichoonekana kwa mwongeaji mashuhuri Mrema.
Pia kwenye matamshi alionekana kutetemeka sana. Binafsi nadhani ana tatizo huyu mzee wetu au ndo uzee haswa.
Doooo, Eee Mwenyezi Mungu naomba umwekee mkono wako huyu Mzee pamoja na kwamba amekuwa akitumiwa vibaya tangu alipopata pigo la uchaguzi mwaka 1995.