Hivi ndoa za Roman Catholic ukiingia kunakutoka kweli?

Hio sheria ipo kwa kajamba nani tu,matajiri haiwahusu. Mfano mzuri uwoya alifunga ndoa na muislam tena jamaa alikua kasuka twende kilioni na hereni sikion siku ya harusi na bado binti akaivunja ndoa (japo hakwenda mahakamani)ila hajatengwa na kanisa

Sasa wewe mwenzangu na mie kasuke nywele zako weka na hereni kama watakuruhusu hata kupita getini
Ukifanya hivyo basi uhame na Ukatoliki maana utakua umevunja smri ya kanisa na amri ya Mungu.
 
Back
Top Bottom