Hivi ndoa na mahakama vinachangia vipi kudumisha au kudumaa kwa mapenzi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ndoa na mahakama vinachangia vipi kudumisha au kudumaa kwa mapenzi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by environmental, Jul 13, 2012.

 1. e

  environmental JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,054
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Wakati mapenzi yamehamishiwa kwenye makaratasi yanayoitwa cheti cha ndoa, inafika wakati mapezi yanaisha linabakia karatasi sasa kama unategemea karatasi lirudishe mapenzi mioyo yenu unafikiri itakuwa wapi. Naamini wanyama wana busara kuliko binadamu maana ulimwengu wa makaratasi wameuweka kando maisha yao yote.binadamu tulivyojitesa na makaratasi kuazia pesa mpaka hati za ardhi na nyumba, vitambulisho, akili zetu tunazoziamini zinatugharimu.
   
 2. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,651
  Trophy Points: 280
  Nyumba ili iwe imara lazi ma iwe na msingi imara!
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Wengi nawaona siku hz wanamalizia mambo yao huko!

  Ngoja watakuja na majibu!
   
 4. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  napita kwanza, ntarudi baadae,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
   
Loading...