Hivi ndoa ina umuhimu gani zama hizi za dunia ya utandawazi?

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
10,466
2,000
Ndoa ni stara kwa waitakayo stara.
Kuiona stara nayo inategemea ntu na ntu. Ni subjective.

Na kwasabb ni subjective basi hakuna umuhimu wa ndoa ambao ni common. Hivyo ni jambo fulani tu hivi ambalo ni optional. Si ndo maana yake?

Na kama ndivyo, kwa vyovyote vile unakubaliana nami kuwa ndoa haina umuhimu.
 

kolola

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
3,417
2,000
Lengo kuu la kuingia kwenye ndoa tangu enzi za mababu ni kupata mtu wa kuchakatana naye. Ndiyo maana mahanithi hawaruhusiwi kufunga ndoa..

naidanganya nafsi?
Kila jambo na wakati wake ila baada ya miaka 60 ndipo utajua umuhimu wa mwenza (mume/mke)
 

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
10,466
2,000
Kila jambo na wakati wake ila baada ya miaka 60 ndipo utajua umuhimu wa mwenza (mume/mke)
Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu. Haya si maneno yangu, Ni maandiko.

Wangapi wamekufa kwa kudhalilika kwa kuteswa na wenza wao uzeeni?.
Wangapi waliopoteza wenza wao kwa vifo kabla ya umri huo?
Wangapi wameachwa na wenza wao uzeeni?

Aijuaye kesho ni Mungu peke yake. Tema mate chini
 

ngongoti2000

JF-Expert Member
Nov 20, 2017
1,907
2,000
Uzuri wa ndoa au kukaa na mwanamke ni kwamba muda wowote hata kama huna kitu unaweza ukachakata,....lakini hao viruka njia akina Sexless kuwakopa ni ngumu sana...kila siku sindano
 

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
10,466
2,000
Uzuri wa ndoa au kukaa na mwanamke ni kwamba muda wowote hata kama huna kitu unaweza ukachakata,....lakini hao viruka njia akina Sexless kuwakopa ni ngumu sana...kila siku sindano
Afadhali wewe umajikita kwenye mada na umeeleza ukweli wako.

Japo Kuna muda mkeo anaweza kukunuima hata mwaka mzima.

Mimi Sexless ni kungwi, nasikia na kuona mengi.
 

joshydama

JF-Expert Member
May 10, 2016
4,333
2,000
Hazina umuhimu kwanza zimeleta mambo haya
1.Kufa Kwa magonjwa ya zinaa
2.Kuwa masIkini
3.Kuwa na msongo wa mawazo
1. Ambao hawajaoana hawafi kwa magonjwa ya zinaa?

2. Unataka kusema wote walio masikini ni kwa sababu ya ndoa?
 

joshydama

JF-Expert Member
May 10, 2016
4,333
2,000
Nipo ndani yake na sioni raha yake mkuu
usingekuwa unaona raha yake ungekuwa ushaachana nae ukaanzishe maisha yako mkuu. Kuendelea kuwepo ni ushahidi tosha kwa kuna faida fulani unaipata ndiyo maana hutaki kung'atuka.
 

to yeye

JF-Expert Member
May 30, 2016
4,514
2,000
usingekuwa unaona raha yake ungekuwa ushaachana nae ukaanzishe maisha yako mkuu. Kuendelea kuwepo ni ushahidi tosha kwa kuna faida fulani unaipata ndiyo maana hutaki kung'atuka.
Jamaa kasema ukisepa na shoka linakufuata mkuu
 

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
10,466
2,000
ukiona kwako kuchakata ni ishu tu kama kutema mate chini just know huna Roho Mtakatifu/uwepo wa Mungu ndani yako,
Nadhani wengi mmekariri kwamba dhambi ni uzinzi tu. Kuna dhambi za kutenda, kuwaza na kunena. Tangu uamke mpk sasa ushatenda dhambi nyingi Sana. Ndiyo maana Kuna andiko linasema: "tukisema kwamba hatuna dhambi twajidanganya". Na ndiyo maana imekatazwa kuhukumu kwa sote tu wadhambi.

Kama unaacha kuchakatana ukifikiri ndiyo utaurithi ufalme wa mbinguni pole yako
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom