Hivi ndivyo watoto wa kitanzania wanavyofundishwa unafiki

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Jul 14, 2021
3,979
5,295
Ni lazima ukiwa unakunywa hata chai kikombe 1 cha mia, akipita jirani sharti umkaribishe.(Huu ni unafiki, je kama akifika kula kweli, na una kikombe kimoja?)

Na hapo ni kwenye kula tu, je mambo mengine? Na ndio maana wakati mwingine tunapata viongozi magoi goi, na watoto wapumbavu na wenye IQ ndogo!
 
Hii inanikumbusha miaka fulani ya ujana huko tulimtembelea rafiki yetu mmoja nyumbani kwake, baada ya mazungumzo kumalizika wakati tunaaga ili tuondoke zetu mama wa ule mji akawa anatukaribisha tusiondoke kwanza kwani chakula kinaandaliwa na tumejumuishwa kwenye kukiandaa.

Tulijitahidi kukataa kwa kusema tutakula siku nyingine lakini yule mama mwenye mji alizidi kusisitiza kwamba sio vizuri kukataa, ghafla nikamwambia rafiki yangu tuliyeenda naye pale kwamba tukae tusuiri tule kwanza. Laaahaulaaaaaaaaaa kumbe hata mboga hakuna

Mama mji alihaha huku na kule kupata walau mboga hata kwa majirani lakini ilishindikana wakati huo sisi tunausoma mchezo wote pale kimya kimya. Kwenda dukani hakuna mayai wala dagaa maana hiyo ndio walau mboga ya haraka haraka.

Rafiki yangu akawa ananishawishi kama vipi tuage tu tuondoke nikamwambia hapana tubaki tuone mwisho wa mtanange. Yalibandikwa maharage tulikomaa nayo hadi tulipopewa yakiwa bado hayajaiva vizuri tukagusagusa tonge mbili mbili za kuzugia tukaaga tukatembea zetu hatuna mbavu.

Baada ya lile tukio hakuwahi tena kufanya ukarimu wa kinafiki
 
Upendo wa kiafrika

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
 
Ni lazima ukiwa unakunywa hata chai kikombe 1 cha mia, akipita jirani sharti umkaribishe.(Huu ni unafiki, je kama akifika kula kweli, na una kikombe kimoja?)

Na hapo ni kwenye kula tu, je mambo mengine? Na ndio maana wakati mwingine tunapata viongozi magoi goi, na watoto wapumbavu na wenye IQ ndogo!
Au kuna ile wanawake wasikie mtu kabaka mtoto mdogo,, utasikia "angeniambia hata mimi ningempa kuliko kubaka kitoto kidogo " sasa mwambie kabla ya tukio uone kama atakupa
 
Hii inanikumbusha miaka fulani ya ujana huko tulimtembelea rafiki yetu mmoja nyumbani kwake, baada ya mazungumzo kumalizika wakati tunaaga ili tuondoke zetu mama wa ule mji akawa anatukaribisha tusiondoke kwanza kwani chakula kinaandaliwa na tumejumuishwa kwenye kukiandaa.

Tulijitahidi kukataa kwa kusema tutakula siku nyingine lakini yule mama mwenye mji alizidi kusisitiza kwamba sio vizuri kukataa, ghafla nikamwambia rafiki yangu tuliyeenda naye pale kwamba tukae tusuiri tule kwanza. Laaahaulaaaaaaaaaa kumbe hata mboga hakuna

Mama mji alihaha huku na kule kupata walau mboga hata kwa majirani lakini ilishindikana wakati huo sisi tunausoma mchezo wote pale kimya kimya. Kwenda dukani hakuna mayai wala dagaa maana hiyo ndio walau mboga ya haraka haraka.

Rafiki yangu akawa ananishawishi kama vipi tuage tu tuondoke nikamwambia hapana tubaki tuone mwisho wa mtanange. Yalibandikwa maharage tulikomaa nayo hadi tulipopewa yakiwa bado hayajaiva vizuri tukagusagusa tonge mbili mbili za kuzugia tukaaga tukatembea zetu hatuna mbavu.

Baada ya lile tukio hakuwahi tena kufanya ukarimu wa kinafiki
Ndio kaka, na usipokuwa na ukarimu wa kinafiki utaitwa una mjivuni, mringaji n.k! Ni wachache sana Bongo hawana unafiki wa hovyo!
 
Ndivyo tunavyolelewa na kukuzwa japo kiuhalisia ni unafiki tu hakuna uhalisia. Ni sawa na mtu anayejionesha kuwa anasaidia jambo fulani kisha anahadithia na kujisifu kuwa yeye ni mtu mwema na mwenye roho nzuri....ovyooooooo
 
Yeah shame upon them!
 
Back
Top Bottom