Hivi ndivyo wanaume tunatakiwa kuwa mbele ya mwanamke umpendae

mengi tunawafanyia lakini inategemea na huyo unayemfanyia, unaweza kumtendea jambo mke ama mpenzi wako ambalo hata yeye hakufikia kama lipo au una mpango wa kufanya hivyo, kwa mfano ukamnunulia chupi moja matata sana labda dazani nzima mzee baba ikakatika kama 100 tuseme, ukampelekea na madude dude mengine kifupi ukaua hata mia 300 za sportpesa, unafika unampatia mzigo wake, unakausha maisha yanaendelea ila amini kuna siku atakuuliza habari za wapenzi wako waliopita kama ulikuwa ukiwafanyia kama unavyomfanyia yeye, kwa mwanaume ni wajibu wake kumtunza mwanamke wake sababu kuu ni kwamba mwanaume yoyote ambaye nyuma yake kuna mwanamke sahihi ukimuona tu hata akiwa mbali anajulikana huyu ana mke ama mpenzi ambaye anahakikisha kuna mambo kwa kiumbe huyu yanakuwa sio ya kuwaza..unarudi home chakula tayari, watoto wana afya, nyumba inanukia amani imetawala, eeh unaamkiwa kabisa shikamoo mme wangu, unatengewa chakula, kitanda safi, mchezo unapewa mpaka unalala humohumo na asubuhi unaondoka uko vizuri kwanini usimuheshimu mwanamke wa dizaini hii?

Sent using Jamii Forums mobile app


๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚kwenye kukuamkia natoa shilingi yangu aisee...!why nikuamkie shikamoo??๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹
 
unajua usipokuwa na ufahamu wa uthamani anaokupa mpenzi wako unaweza kuchukulia poa.
Unaweza kujiona unapendwa sana au una haki ya kupendwa sababu u mzuri sana, unapowaona warembo wengine wanavyoteseka utamheshimu mpenzi wako anayekutunza na kukuthamini.
Wiki nzima mpenzi wangu alionyesha tofauti kubwa mno na heshima ya kiwango cha juu

Sent using Jamii Forums mobile app


๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚kumbe kunatishana tena?๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜….kwahyo unamtishia npenzi wako ukiniboa nakuacha๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜˜ova ww ndo unayetoa pumz...bwashee maisha lazima yaendelee no matter wht...msalimie demi
 
kumbe kunatishana tena?.kwahyo unamtishia npenzi wako ukiniboa nakuachaova ww ndo unayetoa pumz...bwashee maisha lazima yaendelee no matter wht...msalimie demi
Hapana kutishana shemu, miongoni mwa wanaume wanaoweza kumfanya binti ajionee wa pekee kwa kupendwa au kwa kujaliwa, nami nimo. Lakini unapochukulia poa upendo wangu na kujali, nitakufundisha kwa vitendo moja wapo ni kukufanyalia utalii wa ndani uone wenzio wanaishi je, wanapendwa je, wana masahibu gani nk.
Najua wewe u mwanamke wa chuma huhitaji mwanaume legelege lkn kwangu twaweza kwenda sawa
@weeyah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili iweje ?kama sijaelewa
Oohh dhumuni haswaa kwa wanao fanya hivyo ni kutaka kuwaonyesha wenza wao kwamba kitendo cha wao kuwa nao ni kwa sababu wana wathamini .wanapenda kwa dhati "....
Kwa sababu kuna wanawake wengi tu ni wazuri lakini wamekosa watu wakuwathamini na hatimae wakaamua kujiuza ".... so wana waasa wanapo ona mwanaume amewathamini wasiji sahau nakuanza kuota mapembe .....

Hii ni kwa mujibu wao Lakini " Mimi sijawahi kufanya hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia ina wanawake wengi, Wanaume wachache!
katika hao wanaume wachache kuna:

  1. wanaume wapo jela
  2. wanaume sio rizq
  3. wanaume watawa
  4. wanaume committed kwa mwanamke mmoja!
  5. wanaume wapenda sabuni.....
wanaume tujitambue!
 
Dunia ina wanawake wengi, Wanaume wachache!
katika hao wanaume wachache kuna:

  1. wanaume wapo jela
  2. wanaume sio rizq
  3. wanaume watawa
  4. wanaume committed kwa mwanamke mmoja!
  5. wanaume wapenda sabuni.....
wanaume tujitambue!

Pepo mchafu tokaaaaa!
 
Back
Top Bottom