Hivi ndivyo wanaume tunatakiwa kuwa mbele ya mwanamke umpendae

Witness naomba nikwambie;
Kama unashape kama hilo tako lako au hata uzuri wa uso, si kitu sana kwa mwanaume zaidi utaendelea kutumiwa na usipewe hwshima ya kuwa mke ( waulize akina Wema, Tunda na co wao)
Ugonjwa wetu mkubwa ni kumpata mwanamke mwanana moyoni, mtii na mwenye heshima.
Mwanaume ni smart sana na anajua kupangilia atakacho...
Anaoa mtiifu na mwenyeheahima na nje anagonga mwenye uzuri wa uso au figure ilhali anajua hawaendi kokote kimahusiano

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kama unahasira mkuu ha ha ha ha ha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Somo zuri saaaaana kwetu wanaume, hasa ukifanya haya kwa mwanamke anayejitambua inaweza kusaidia.
Kuwa muwajibikaji
ktk nyanja zote kuanzia huduma zote anazohitaji mwanamke.
Mlinzi
Ni lazima kila mwanaume kuhakikisha usalama wa mwanamke umpendae ktk nyanja mbalimbali mf:kumlinda na mgonjwa n.k hii hupelekea viumbe hawa kujiona salama.
Kuthamini uwepo wake
Wanawake ni viumbe wanaopenda Kuthaminiwa hivyo kwa kumthamini kiumbe huyu kuta durufu chemchem ya mahaba ktk vidimbwi vyake vya upendo.
Muelewe
Hii itapunguza mijadala na migogoro isiyo stahiki na kuimarisha mapenzi yenu yasiyo ya nchi hii.
Mtatuzi
Kuwa Mtatuzi wa shida za huyu kiumbe mwanamke umpendae itashamirisha uaminifu wake kwako.
Mtendaji
Kiumbe mwanaume si kiumbe cha maneno bali matendo hii itajenga heshima na kuimarisha afya ya mapenzi.

NB;kwa wanaume wenzangu haya yanatakiwa kutendwa kwa mwanamke umpendae na awe muelewa na kutambua thamani ya upendo wako,nje ya hapo maumivu ya mapenzi yatakurarua kama mjeledi wa mkoloni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Witness naomba nikwambie;
Kama unashape kama hilo tako lako au hata uzuri wa uso, si kitu sana kwa mwanaume zaidi utaendelea kutumiwa na usipewe hrshima ya kuwa mke ( waulize akina Wema, Tunda na co wao)
Ugonjwa wetu mkubwa ni kumpata mwanamke mwanana moyoni, mtii na mwenye heshima.
Mwanaume ni smart sana na anajua kupangilia atakacho...
Anaoa mtiifu na mwenyeheahima na nje anagonga mwenye uzuri wa uso au figure ilhali anajua hawaendi kokote kimahusiano

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa muwajibikaji
ktk nyanja zote kuanzia huduma zote anazohitaji mwanamke.
Mlinzi
Ni lazima kila mwanaume kuhakikisha usalama wa mwanamke umpendae ktk nyanja mbalimbali mf:kumlinda na mgonjwa n.k hii hupelekea viumbe hawa kujiona salama.
Kuthamini uwepo wake
Wanawake ni viumbe wanaopenda Kuthaminiwa hivyo kwa kumthamini kiumbe huyu kuta durufu chemchem ya mahaba ktk vidimbwi vyake vya upendo.
Muelewe
Hii itapunguza mijadala na migogoro isiyo stahiki na kuimarisha mapenzi yenu yasiyo ya nchi hii.
Mtatuzi
Kuwa Mtatuzi wa shida za huyu kiumbe mwanamke umpendae itashamirisha uaminifu wake kwako.
Mtendaji
Kiumbe mwanaume si kiumbe cha maneno bali matendo hii itajenga heshima na kuimarisha afya ya mapenzi.

NB;kwa wanaume wenzangu haya yanatakiwa kutendwa kwa mwanamke umpendae na awe muelewa na kutambua thamani ya upendo wako,nje ya hapo maumivu ya mapenzi yatakurarua kama mjeledi wa mkoloni.
Siku ukioa baada ya muda utakuja na uzi wa kulalamikia wanawake haswa katika suala la kuwaridhisha kipesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa muwajibikaji
ktk nyanja zote kuanzia huduma zote anazohitaji mwanamke.
Mlinzi
Ni lazima kila mwanaume kuhakikisha usalama wa mwanamke umpendae ktk nyanja mbalimbali mf:kumlinda na mgonjwa n.k hii hupelekea viumbe hawa kujiona salama.
Kuthamini uwepo wake
Wanawake ni viumbe wanaopenda Kuthaminiwa hivyo kwa kumthamini kiumbe huyu kuta durufu chemchem ya mahaba ktk vidimbwi vyake vya upendo.
Muelewe
Hii itapunguza mijadala na migogoro isiyo stahiki na kuimarisha mapenzi yenu yasiyo ya nchi hii.
Mtatuzi
Kuwa Mtatuzi wa shida za huyu kiumbe mwanamke umpendae itashamirisha uaminifu wake kwako.
Mtendaji
Kiumbe mwanaume si kiumbe cha maneno bali matendo hii itajenga heshima na kuimarisha afya ya mapenzi.

NB;kwa wanaume wenzangu haya yanatakiwa kutendwa kwa mwanamke umpendae na awe muelewa na kutambua thamani ya upendo wako,nje ya hapo maumivu ya mapenzi yatakurarua kama mjeledi wa mkoloni.
umesema ila awe mwelewa,...asipokuwa mwelewa!!?....haya mambo hayana formula!!... Wasiojali ndo wanapendwa sana Mara nyingi!
 
Mpaka unaondoka duniani hutakaa umuelewe mwanamke.Wanakuaga na endless needs na huwaga wanabadirika kama kinyonga.Wewe unaweza mnunulia gari mwanamke lakini ikitokea gari ikapata shida akiwa barabarani anaweza akasaidiwa na bodaboda mwishowe akamuona bodaboda ni wa thamani kuliko wewe uliemnunulia gari na ndio maana tunaambiwa tuishi nao kwa akiri.
Hii inanikumbusha pale kijijini kwetu, kuna dada mmoja aliolewa na jamaa wanaishi Dasalama kuna kipindi ilitokea shughuri kwa huyu dada na yule shemeji yetu aligharamia shughuri yote zaidi ya laki 4 hivi. Sasa kumbe yule dada alikuwa na kiben ten chake cha zamani, kiben ten kikapeleka shiling elfu 5 kwa bibi wa yule dada. Jioni dada kaenda kumsalimia bibi yake jirani tu na pale kwao bibi akamkabidhi ili 5000/= ya kiben ten wakati huo mumewe nae akaona akamsalimie bibi. Jamaa kukaribia kwa bibi anamsikia mkewe anamshukuru kiben ten kwa ile elfu 5 tena anasema jamaa anamjali sana kuliko mtu yeyote duniani jamaa aliumia sna akaona kumbe elfu 5 ni nyingi kuliko laki 4, basi jamaa hakufika kule kwa akarudi akala kimya kama hakuna alilosikia. Siku ya tatu shughuri iliisha akawaaga watu wote vizuri kisha akamtwanga talaka mkewe, kila mtu alishangaa maana hakukuwa na ugomvi na jamaa alionekana kupenda na kujali mda wote sasa wazee wakashindwa kumuuliza jamaa tatizo nini ikabidi wambane binti yao. Mdada yupo hapa nauza maandazi ya mia mia mwaka wa tano huu
 
Usisahau ukipata muda unampitisha na mitaa ambayo wapo madadapoa ili ajifunze kitu
daah mkuu mimi niliwahi kufanya hili, nilimpitisha sehemu ya madada poa, nikamwambia lala kwenye siti.
tulipofika karibu na maeneo nilipaki na kufungua vioo vya mbele...yaani walijaa fasta na huku wakijinadi kama ujuavyo, fasta nikafunga vio na kuondoka.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ila hii kitu mi siungi mkono sio kitu kizuri kabisa, maana ukampitisha kisha madada poa wakamuona wakaanza kumwita jina lake mfano Rose siku hizi mbona huonekani huyo ndio shemeji? Mwisho ukaishia kukata moto bure
 
Baada ya kutoa hayo yote jiulize unapata nin ? unapata mbunye tu! kweli kuangaika kote huko kwa ajili ya k , wakati unamlisha na kumpa kila kitu na utamu unampa yani yeye anarudisha k tu, kweli wanawake ni wabinafsi hawa watu sio wa kuwaendekeza waacheni wabaki kuishi na baba zao waone kama huo upendo wanaotaka kutoka kwa mwanaume baba yake anaweza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mengi tunawafanyia lakini inategemea na huyo unayemfanyia, unaweza kumtendea jambo mke ama mpenzi wako ambalo hata yeye hakufikia kama lipo au una mpango wa kufanya hivyo, kwa mfano ukamnunulia chupi moja matata sana labda dazani nzima mzee baba ikakatika kama 100 tuseme, ukampelekea na madude dude mengine kifupi ukaua hata mia 300 za sportpesa, unafika unampatia mzigo wake, unakausha maisha yanaendelea ila amini kuna siku atakuuliza habari za wapenzi wako waliopita kama ulikuwa ukiwafanyia kama unavyomfanyia yeye, kwa mwanaume ni wajibu wake kumtunza mwanamke wake sababu kuu ni kwamba mwanaume yoyote ambaye nyuma yake kuna mwanamke sahihi ukimuona tu hata akiwa mbali anajulikana huyu ana mke ama mpenzi ambaye anahakikisha kuna mambo kwa kiumbe huyu yanakuwa sio ya kuwaza..unarudi home chakula tayari, watoto wana afya, nyumba inanukia amani imetawala, eeh unaamkiwa kabisa shikamoo mme wangu, unatengewa chakula, kitanda safi, mchezo unapewa mpaka unalala humohumo na asubuhi unaondoka uko vizuri kwanini usimuheshimu mwanamke wa dizaini hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom