Hivi ndivyo wanaume tunatakiwa kuwa mbele ya mwanamke umpendae

Kuwa muwajibikaji
ktk nyanja zote kuanzia huduma zote anazohitaji mwanamke.
Mlinzi
Ni lazima kila mwanaume kuhakikisha usalama wa mwanamke umpendae ktk nyanja mbalimbali mf:kumlinda na mgonjwa n.k hii hupelekea viumbe hawa kujiona salama.
Kuthamini uwepo wake
Wanawake ni viumbe wanaopenda Kuthaminiwa hivyo kwa kumthamini kiumbe huyu kuta durufu chemchem ya mahaba ktk vidimbwi vyake vya upendo.
Muelewe
Hii itapunguza mijadala na migogoro isiyo stahiki na kuimarisha mapenzi yenu yasiyo ya nchi hii.
Mtatuzi
Kuwa Mtatuzi wa shida za huyu kiumbe mwanamke umpendae itashamirisha uaminifu wake kwako.
Mtendaji
Kiumbe mwanaume si kiumbe cha maneno bali matendo hii itajenga heshima na kuimarisha afya ya mapenzi.

NB;kwa wanaume wenzangu haya yanatakiwa kutendwa kwa mwanamke umpendae na awe muelewa na kutambua thamani ya upendo wako,nje ya hapo maumivu ya mapenzi yatakurarua kama mjeledi wa mkoloni.[/QUOTE
Ukijua haya sijui kama utaishi kwa taabu bila kujua viumbe hawa wanataka nini utaishi pekeako bila kumbukumbu hakuna ataejua thamani wala kukumbuka kwa lolote pindi inapotokea mtafaruko
 
Kwanini ulifanya hivoo?

Sent using Jamii Forums mobile app
unajua usipokuwa na ufahamu wa uthamani anaokupa mpenzi wako unaweza kuchukulia poa.
Unaweza kujiona unapendwa sana au una haki ya kupendwa sababu u mzuri sana, unapowaona warembo wengine wanavyoteseka utamheshimu mpenzi wako anayekutunza na kukuthamini.
Wiki nzima mpenzi wangu alionyesha tofauti kubwa mno na heshima ya kiwango cha juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka unaondoka duniani hutakaa umuelewe mwanamke.Wanakuaga na endless needs na huwaga wanabadirika kama kinyonga.Wewe unaweza mnunulia gari mwanamke lakini ikitokea gari ikapata shida akiwa barabarani anaweza akasaidiwa na bodaboda mwishowe akamuona bodaboda ni wa thamani kuliko wewe uliemnunulia gari na ndio maana tunaambiwa tuishi nao kwa akiri.
nenda kasome saikolojia hautafikiri hivi na utapata kuwaepuka watu fulani na wengine kuwaongoza kutokana na uwezo wako wa akili.
 
Naamini ulikuwa na sababu ya kufanya hivyo Mkuu, akiwa mwenye akili atajua nini maana yake ila kama ni mjinga anaenda kukinukisha nyumbani
mkuu wanawake ni wa ajabu sana, anaweza kuhisi unampenda sababu ya uzuri wake unaowazidi wengine, kumbe wapo wazuri na hawana wa kuwapenda na kuwatunza. Wanawake wajifunze kuwa mwanaume hana la kupoteza, anapoanza kuzeeka ndipo anakuwa na thsmsni zaidi la msingi awe na pesa, lakini wanawake ni maua, wakitumia muda wao vibaya watajuta uzeeni
unajua usipokuwa na ufahamu wa uthamani anaokupa mpenzi wako unaweza kuchukulia poa.
Unaweza kujiona unapendwa sana au una haki ya kupendwa sababu u mzuri sana, unapowaona warembo wengine wanavyoteseka utamheshimu mpenzi wako anayekutunza na kukuthamini.
Wiki nzima mpenzi wangu alionyesha tofauti kubwa mno na heshima ya kiwango cha juu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unajua usipokuwa na ufahamu wa uthamani anaokupa mpenzi wako unaweza kuchukulia poa.
Unaweza kujiona unapendwa sana au una haki ya kupendwa sababu u mzuri sana, unapowaona warembo wengine wanavyoteseka utamheshimu mpenzi wako anayekutunza na kukuthamini.
Wiki nzima mpenzi wangu alionyesha tofauti kubwa mno na heshima ya kiwango cha juu

Sent using Jamii Forums mobile app
...imenikuta hiyoo!

Na nilijua tu kuwa anafanya kimakusudi kunileta mitaa hiyoo ha ha ha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu wanawake ni wa ajabu sana, anaweza kuhisi unampenda sababu ya uzuri wake unaowazidi wengine, kumbe wapo wazuri na hawana wa kuwapenda na kuwatunza. Wanawake wajifunze kuwa mwanaume hana la kupoteza, anapoanza kuzeeka ndipo anakuwa na thsmsni zaidi la msingi awe na pesa, lakini wanawake ni maua, wakitumia muda wao vibaya watajuta uzeeni

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ni jibu sahihi kabisa
 
mnatuchukuliaga poa sana na mkiingiaga ndani mnaonyesha kutokutujali, unajua sisi wanaume tunahitaji kitu kidogo sana toka kweni "utii na heshima" baasi, mkilifanyia kazi hili hamtajuta....ninyi hamuwezi kupenda, wanaume ndiyo kazi yetu kuwapenda ninyi.
Mnalia sana kwa makosa madogo myafanyayo...mimi huwa natamani niwafundishe mabinti namna bora ya kumhandle mwanaume hamtojuja best
...imenikuta hiyoo!

Na nilijua tu kuwa anafanya kimakusudi kunileta mitaa hiyoo ha ha ha!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mnatuchukuliaga poa sana na mkiingiaga ndani mnaonyesha kutokutujali, unajua sisi wanaume tunahitaji kitu kidogo sana toka kweni "utii na heshima" baasi, mkilifanyia kazi hili hamtajuta....ninyi hamuwezi kupenda, wanaume ndiyo kazi yetu kuwapenda ninyi.
Mnalia sana kwa makosa madogo myafanyayo...mimi huwa natamani niwafundishe mabinti namna bora ya kumhandle mwanaume hamtojuja best

Sent using Jamii Forums mobile app
"Utii na heshima"....si chini ya wanaume zaidi ya kumi nimewasikia wakisema hivi

Tatizo wanawake wengi jeuri, nyodo...huu ni ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Utii na heshima"....si chini ya wanaume zaidi ya kumi nimewasikia wakisema hivi

Tatizo wanawake wengi jeuri, nyodo...huu ni ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Witness naomba nikwambie;
Kama unashape kama hilo tako lako au hata uzuri wa uso, si kitu sana kwa mwanaume zaidi utaendelea kutumiwa na usipewe heshima ya kuwa mke ( waulize akina Wema, Tunda na co wao)
Ugonjwa wetu mkubwa ni kumpata mwanamke mwanana moyoni, mtii na mwenye heshima.
Mwanaume ni smart sana na anajua kupangilia atakacho...
Anaoa mtiifu na mwenye heshima na nje anagonga mwenye uzuri wa uso au figure ilhali anajua hawaendi kokote kimahusiano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom