Hivi ndivyo wanaume tunatakiwa kuwa mbele ya mwanamke umpendae

Mwisho wa siku mimi kama mwanaume nahitaji vitu vipi kutoka kwake (nitegemee nini baada ya kufanya yote hayo)
Kuwa muwajibikaji
ktk nyanja zote kuanzia huduma zote anazohitaji mwanamke.
Mlinzi
Ni lazima kila mwanaume kuhakikisha usalama wa mwanamke umpendae ktk nyanja mbalimbali mf:kumlinda na mgonjwa n.k hii hupelekea viumbe hawa kujiona salama.
Kuthamini uwepo wake
Wanawake ni viumbe wanaopenda Kuthaminiwa hivyo kwa kumthamini kiumbe huyu kuta durufu chemchem ya mahaba ktk vidimbwi vyake vya upendo.
Muelewe
Hii itapunguza mijadala na migogoro isiyo stahiki na kuimarisha mapenzi yenu yasiyo ya nchi hii.
Mtatuzi
Kuwa Mtatuzi wa shida za huyu kiumbe mwanamke umpendae itashamirisha uaminifu wake kwako.
Mtendaji
Kiumbe mwanaume si kiumbe cha maneno bali matendo hii itajenga heshima na kuimarisha afya ya mapenzi.

NB;kwa wanaume wenzangu haya yanatakiwa kutendwa kwa mwanamke umpendae na awe muelewa na kutambua thamani ya upendo wako,nje ya hapo maumivu ya mapenzi yatakurarua kama mjeledi wa mkoloni.

Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
 
Mwisho wa siku mimi kama mwanaume nahitaji vitu vipi kutoka kwake (nitegemee nini baada ya kufanya yote hayo)

Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
mkuu moja kati ya vitu ambavyo utavipata kwa mwanamke anaejielewa ni utulivu wa familia pamoja na upendo wa dhati hii mkuu ni tuzo kubwa ktk kila familia inaweza hata kudumisha amani na malezi mazuri kwa watoto
 
Back
Top Bottom