Hivi ndivyo wanaume tunatakiwa kuwa mbele ya mwanamke umpendae

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
16,056
2,000
Kuwa muwajibikaji
ktk nyanja zote kuanzia huduma zote anazohitaji mwanamke.
Mlinzi
Ni lazima kila mwanaume kuhakikisha usalama wa mwanamke umpendae ktk nyanja mbalimbali mf:kumlinda na mgonjwa n.k hii hupelekea viumbe hawa kujiona salama.
Kuthamini uwepo wake
Wanawake ni viumbe wanaopenda Kuthaminiwa hivyo kwa kumthamini kiumbe huyu kuta durufu chemchem ya mahaba ktk vidimbwi vyake vya upendo.
Muelewe
Hii itapunguza mijadala na migogoro isiyo stahiki na kuimarisha mapenzi yenu yasiyo ya nchi hii.
Mtatuzi
Kuwa Mtatuzi wa shida za huyu kiumbe mwanamke umpendae itashamirisha uaminifu wake kwako.
Mtendaji
Kiumbe mwanaume si kiumbe cha maneno bali matendo hii itajenga heshima na kuimarisha afya ya mapenzi.

NB;kwa wanaume wenzangu haya yanatakiwa kutendwa kwa mwanamke umpendae na awe muelewa na kutambua thamani ya upendo wako,nje ya hapo maumivu ya mapenzi yatakurarua kama mjeledi wa mkoloni.
 
Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
28,325
2,000
Mkuu...
Samahani kidogo nimechelewa kufika kwenye huu uzi.
Naomba kuwasilisha.....
IMG-20190122-WA0015.jpg
 
Zero Competition

Senior Member
Sep 12, 2018
179
500
Mpaka unaondoka duniani hutakaa umuelewe mwanamke.Wanakuaga na endless needs na huwaga wanabadirika kama kinyonga.Wewe unaweza mnunulia gari mwanamke lakini ikitokea gari ikapata shida akiwa barabarani anaweza akasaidiwa na bodaboda mwishowe akamuona bodaboda ni wa thamani kuliko wewe uliemnunulia gari na ndio maana tunaambiwa tuishi nao kwa akiri.
 
Glenn

JF-Expert Member
May 22, 2018
10,364
2,000
Usisahau ukipata muda unampitisha na mitaa ambayo wapo madadapoa ili ajifunze kitu
daah mkuu mimi niliwahi kufanya hili, nilimpitisha sehemu ya madada poa, nikamwambia lala kwenye siti.
tulipofika karibu na maeneo nilipaki na kufungua vioo vya mbele...yaani walijaa fasta na huku wakijinadi kama ujuavyo, fasta nikafunga vio na kuondoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
witnessj

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
20,039

Kwanini ulifanya hivoo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Norshad

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
4,522
2,000
daah mkuu mimi niliwahi kufanya hili, nilimpitisha sehemu ya madada poa, nikamwambia lala kwenye siti.
tulipofika karibu na maeneo nilipaki na kufungua vioo vya mbele...yaani walijaa fasta na huku wakijinadi kama ujuavyo, fasta nikafunga vio na kuondoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini ulikuwa na sababu ya kufanya hivyo Mkuu, akiwa mwenye akili atajua nini maana yake ila kama ni mjinga anaenda kukinukisha nyumbani
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom