Hivi ndivyo Wahindi wanavyosafirisha mihogo kwenda Ulaya

Huo ni mhogo wenyewe frozen,undefinedundefinedunahitaji package nzuri kisha tumia vacuum sealer kuseal
 
Ni kweli lakini unaweza kuanzia Ubalozi wa nchi lengwa na kuwambia soko lako ni ethnic minority’s community
Kwamaana kwamba ukiwa unafahamiana na hao jamii ndogo sio. Kama una wabongo kule hii biashara mnaweza kuifanya kumbe bila hata wewe mwenyewe kupanda pipa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom