ALWATAN KIZIGO
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 539
- 642
1:Zinakokwenda posho ya kila mwezi inayotolewa na msajili wa vyama vya siasa inayokaribia milion 800.
2: Kifo cha utata cha aliyekua Makamu Mwenyekiti Marehemu Chacha Wangwe.
3:Upendeleo wa nafasi za ajira na ubunge viti maalum ndani ya CHADEMA.
4: Kwa nini walimpa kugombea nafasi ya urais mtu waliyemweka katika list of shame ya ufisadi? Sasa ni rasmi kwamba CHADEMA imefunga ndoa ya kudumu na mafisadi.
5: Ukomo wa Mbowe kuwa Mwenyekiti kwa mujibu wa katiba ni lini?
6: Ben Saa Nane alikua msaidizi binafsi wa Mbowe.
Kwa nini alivyotoweka chama hakikutoa taarifa polisi mpaka wakasubiri Baba mzazi wa Ben afanye hivyo?
7: Kwa nini Mbowe anakwepa kulipa kodi?
8: Agenda ya CHADEMA kwa sasa ni ipi?
9: Kwa nini wabunge wa CHADEMA wanalazimishwa kuchangia shillingi Milioni moja kila mwezi wakati chama kinapokea ruzuku.?
10: Kwa nini uchaguzi wa kanda ya Nyasa na Kanda ya Kaskazini uliingiliwa kwa nia ya kuwabeba Peter Msigwa na Philemon Ndesamburo?
11: Kwa nini CHADEMA imetoa maelekezo kwa wabunge na madiwani wao kuhujumu miradi ya maendeleo inayoletwa na Serikali?
12:Elimu ya Mbowe.
13: Kwa nini Mbowe anakwepa kwenda kwa mkemia?
14: Kwa nini tenda ya manunuzi ya furniture na vifaa vingine vya chama inafanywa na kampuni za viongozi waandamizi wa CHADEMA na gharama zao zinakua mara tatu ya gharama halisi?
15:Ni lini CHADEMA wataanza kuishi katika misingi ya Demokrasia kama wanavyohubiri?
17: Kwa nini CHADEMA haina ofisi mikoani?
18: Kwa nini wanatumia Itikadi ya Ubepari ambayo msingi wake mkuu ni unyonyaji kwa walalahoi.
19: Fedha za zilizokusanywa katika Harambee ya kuisaidia CHADEMA ianzishe kituo chake cha televisheni zimeyeyukia wapi?
20:Fedha zilizotolewa na Mustafa Sabodo kwa CHADEMA kwa malengo kuchimbia visima zimeliwa na akina nani?
Augustine Chiwinga.