Hivi ndivyo vitu 5 ambavyo wanawake hupenda sana kudanganya ktk mapenzi

Mr.Thinker

Senior Member
Dec 13, 2013
125
137
kuna baadhi ya wanawake ambao ni waongo sana, na hiyo inajulikana, hata kuwashinda wanaume ambao inajulikana wao ndo wajanja katika kudanganya kuliko wanawake,
lakini leo tutaangalie vile vitu ambavyo wanawake wengi huwa wanadanganya sana.
1. Umri

Wanawake wengi wanaamini wanaume wanavutiwa na wanawake wenye umri mdogo, wanawake walio na miaka kati ya 24-29 mara nyingi huwa wanashusha miaka 2 hadi 3 ili waonekane wadogo mbele ya wanaume.
2. Kutokuwa Na Mahusiano
Baadhi wa wanawake, husema wapo kwenye mahusiano hata kama hawapo,hii inatokea hasa kama mwanamke hamtaki mwanaume aliemtokea wakati huo na kisingizio kikubwa ni yeye kuwa katika mahusiano na huu ni uongo mmoja maarufu sana na Baadhi ya wanawake pia huwa wanaficha kama wapo kwenye mahusiano, hasa pale wanapotaka kuanzisha ,mahusiano mapya, huku wakiendelea kuwa na mahusiano na wanaume wawili kwa wakati mmoja.
3. Mara ya mwisho kukutana kimwili na mwanaume
Mwanamke hawezi kukwambia ukweli kuhusu hili hata kama alikutana na mtu kimwili jana, atakwambia miezi 4-8 iliyopita, hii ni kwasababu anaona ataonekana muhuni sana au Malaya, na wengi wao huwa wanataka kuonekana wasafi au tuite watakatifu. Kitu ambacho sio
4. Ameshakuwa na wapenzi wangapi
Uongo mwingine ambao ni maarufu ni kuhusiana na mwanaume wangapi ametoka nao, hapa sahau sana kwani huwezi kupata jibu sahii, sababu wanawake wengi huwa wanadanganya mahusiano yao ya nyuma, anaweza kukwambia wawili au watatu kitu ambacho inaweza kuwa zaidi ya hao. Japokuwa uongoo huu hata wanaume pia wanadanganya
5. Kudanganya kuhusu vitu alivyozoea
Wapo wanawake wanadanganya kuhusu kutoka usiku, labda sio watu wa tungi/Gambe, sio watundu kitandani na kujidai ndo kwanza kuna mambo wanayaanza siku hiyo. Kujidai hawawezi hiki mara kile mara akwambie mie ndo mara yangu ya kwanza ilimladi vituko .
Ila mwanamke mpaka anafikia stage ya kudanganya haya ni kwa sababu ana mapenzi ya dhati na mtu huyo na anaogopa kumpoteza kama akijua baadhi ya vitu vyake vya ndani. Japokuwa wakati mwingine hali hii haijengi bali inabomoa mahusiano.
 
Mkuu Uzi wako una ukweli wa kutosha japo hata wanaume wengi tu pia hudanganya sawa na wanawake lengo likiwa ni kuhakikisha hampotezi ama anafanikisha uhuasiano mpya kama ndio umeanza
Bila kudanganya mahusiano hayadumu??
 
ukweli mtupu......hata maeneo yani unamuuliza uko wap anakudanganya bila reason..cjui wamerogwaaa
 
kuna baadhi ya wanawake ambao ni waongo sana, na hiyo inajulikana, hata kuwashinda wanaume ambao inajulikana wao ndo wajanja katika kudanganya kuliko wanawake,
lakini leo tutaangalie vile vitu ambavyo wanawake wengi huwa wanadanganya sana.
1. Umri

Wanawake wengi wanaamini wanaume wanavutiwa na wanawake wenye umri mdogo, wanawake walio na miaka kati ya 24-29 mara nyingi huwa wanashusha miaka 2 hadi 3 ili waonekane wadogo mbele ya wanaume.
2. Kutokuwa Na Mahusiano
Baadhi wa wanawake, husema wapo kwenye mahusiano hata kama hawapo,hii inatokea hasa kama mwanamke hamtaki mwanaume aliemtokea wakati huo na kisingizio kikubwa ni yeye kuwa katika mahusiano na huu ni uongo mmoja maarufu sana na Baadhi ya wanawake pia huwa wanaficha kama wapo kwenye mahusiano, hasa pale wanapotaka kuanzisha ,mahusiano mapya, huku wakiendelea kuwa na mahusiano na wanaume wawili kwa wakati mmoja.
3. Mara ya mwisho kukutana kimwili na mwanaume
Mwanamke hawezi kukwambia ukweli kuhusu hili hata kama alikutana na mtu kimwili jana, atakwambia miezi 4-8 iliyopita, hii ni kwasababu anaona ataonekana muhuni sana au Malaya, na wengi wao huwa wanataka kuonekana wasafi au tuite watakatifu. Kitu ambacho sio
4. Ameshakuwa na wapenzi wangapi
Uongo mwingine ambao ni maarufu ni kuhusiana na mwanaume wangapi ametoka nao, hapa sahau sana kwani huwezi kupata jibu sahii, sababu wanawake wengi huwa wanadanganya mahusiano yao ya nyuma, anaweza kukwambia wawili au watatu kitu ambacho inaweza kuwa zaidi ya hao. Japokuwa uongoo huu hata wanaume pia wanadanganya
5. Kudanganya kuhusu vitu alivyozoea
Wapo wanawake wanadanganya kuhusu kutoka usiku, labda sio watu wa tungi/Gambe, sio watundu kitandani na kujidai ndo kwanza kuna mambo wanayaanza siku hiyo. Kujidai hawawezi hiki mara kile mara akwambie mie ndo mara yangu ya kwanza ilimladi vituko .
Ila mwanamke mpaka anafikia stage ya kudanganya haya ni kwa sababu ana mapenzi ya dhati na mtu huyo na anaogopa kumpoteza kama akijua baadhi ya vitu vyake vya ndani. Japokuwa wakati mwingine hali hii haijengi bali inabomoa mahusiano.
Win win situation!! Unayedanganywa na wewe unadanganya pia.
 
Hiyo ya kuwa na wapenzi wangapi kwangu ina matter sana.
kuna mmoja aliapa hakuwahi kuwa na mtu na wa nyumbani kwao walikuwa wanamshangaa alivyokuwa anawatukana wanaume kumbe alibanduliwa siku nyingi. Siku moja nikampa bia weee ili atoe mbunye maana nilikaa naye miaka 2 bila kuona ndani ya box.
cha ajabu kumbe walishapitaga siku nyingi. mimi nilikuwa najua hapa nimepata bikra kumbe hamna kitu. ***** nilimind sanaaa( siku ya 2 nilikunywa bia 22 wakati wa kurudi home nikadakwa na sungusungu nikakesha nao) hela zangu, zawadi zangu, na mengineyo mengi kumbe bikra hana. kidogo nimbikiri kule kwenye bomba la dawasco ***** zako si ungeniambia kuliko kunifanya mimi punguani tsk
 
wewe unapomfata mdada anajuwa tu huyu anataka kunikwea sasa story mingi ooo ulikuwa mpambanaji inahusu ?
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom