Hivi ndivyo vitu 5 ambavyo wanawake hupenda sana kudanganya ktk mapenzi

kuna baadhi ya wanawake ambao ni waongo sana, na hiyo inajulikana, hata kuwashinda wanaume ambao inajulikana wao ndo wajanja katika kudanganya kuliko wanawake,
lakini leo tutaangalie vile vitu ambavyo wanawake wengi huwa wanadanganya sana.
1. Umri

Wanawake wengi wanaamini wanaume wanavutiwa na wanawake wenye umri mdogo, wanawake walio na miaka kati ya 24-29 mara nyingi huwa wanashusha miaka 2 hadi 3 ili waonekane wadogo mbele ya wanaume.
2. Kutokuwa Na Mahusiano
Baadhi wa wanawake, husema wapo kwenye mahusiano hata kama hawapo,hii inatokea hasa kama mwanamke hamtaki mwanaume aliemtokea wakati huo na kisingizio kikubwa ni yeye kuwa katika mahusiano na huu ni uongo mmoja maarufu sana na Baadhi ya wanawake pia huwa wanaficha kama wapo kwenye mahusiano, hasa pale wanapotaka kuanzisha ,mahusiano mapya, huku wakiendelea kuwa na mahusiano na wanaume wawili kwa wakati mmoja.
3. Mara ya mwisho kukutana kimwili na mwanaume
Mwanamke hawezi kukwambia ukweli kuhusu hili hata kama alikutana na mtu kimwili jana, atakwambia miezi 4-8 iliyopita, hii ni kwasababu anaona ataonekana muhuni sana au Malaya, na wengi wao huwa wanataka kuonekana wasafi au tuite watakatifu. Kitu ambacho sio
4. Ameshakuwa na wapenzi wangapi
Uongo mwingine ambao ni maarufu ni kuhusiana na mwanaume wangapi ametoka nao, hapa sahau sana kwani huwezi kupata jibu sahii, sababu wanawake wengi huwa wanadanganya mahusiano yao ya nyuma, anaweza kukwambia wawili au watatu kitu ambacho inaweza kuwa zaidi ya hao. Japokuwa uongoo huu hata wanaume pia wanadanganya
5. Kudanganya kuhusu vitu alivyozoea
Wapo wanawake wanadanganya kuhusu kutoka usiku, labda sio watu wa tungi/Gambe, sio watundu kitandani na kujidai ndo kwanza kuna mambo wanayaanza siku hiyo. Kujidai hawawezi hiki mara kile mara akwambie mie ndo mara yangu ya kwanza ilimladi vituko .
Ila mwanamke mpaka anafikia stage ya kudanganya haya ni kwa sababu ana mapenzi ya dhati na mtu huyo na anaogopa kumpoteza kama akijua baadhi ya vitu vyake vya ndani. Japokuwa wakati mwingine hali hii haijengi bali inabomoa mahusiano.
Umejuaje???
 
Kwa miaka hii mimi sioni hata haja ya kumuuliza binti yooote hayo.

Ila hilo la mwisho la kujifanya hajui kabisa hata styles za mapenzi linakera sana

Inapendeza aoneshe mautundu kutokana na experience yake.

Kwani ni bikra?
 
Je demuu akizifumaa sms mnachat na mchepko live unamponda yy na akakfowadia sms ulizo mponda Unafanyejee kmludisha Iman ya kuendelea kuwa ktk mapenzi ya awali
 
Kwa wanaume mwanamke ukimwambia ukwel haumpati.tutazid kuwadanganya tu Hamna namna
 
Wanawake wanadanganya sana juu ya kufika kwao kileleni mkiwa mnasex. Unaweza kujiona mwamba kumbe ni maigizo.
huu uongo unaweza kuugundua kirahisi sana ..
ata act lakini utajua tu tofauti ya maigizo na real ejaculation
 
Nikweli, maana kuna mwanamke alinichukia hadi kuachana siku nilipomuuliza nani alikutoa bikira?
 
Kila binadamu ni muongo... ila kuna uongo wa faida... na uongo wa hasara...
 
Hata wanaume nao waongo si haba,anakwambia mwanamke wangu nimeachana nae mda mwingi kama miezi 7iliyo pita kumbe katoka kwake,au sina mke utashangaa kumbe ana mke na watoto..
 
Tatizo letu ni unafiki, na ndio maana hata mapenzi yamejaa unafiki
 
Mm naona wasisingiziwe. Namba moja tu ndio naona linafiti, the rest ina apply kote. Hakuna cha mwanaume wala mwanamke. Namba

2. Wanaume nao hufanya kumuonyesha mwanamke kuwa n yy ndio kapendwa na atakuwa na future na huyo mwanaume, vp bac kuhusu wanaume walioko kwenye ndoa na wanawadanganya wadada wa watu kuwa hawajaowa na wengine wanawatolea hadi mahari ama hao ni wanawake waliowa wanawake wenzao.

3. Baadhi ya wanaume pia hutumia njia hii kuonyesha kuwa wapo single na anahamu sana na mwanamke cz hakuwa na mahusiano muda.

4. Ngoma droooooo hata baadhi ya wanaume hawataki kuonekana kuwa walimekuwa na misururu ili asimuogopeshe mwanamke why naye ana achwaachwa ama achacha bac anamapungufu.

5. Tn hili ndio wanaume wanaongoza kutegemea na type ya mwanamke anayemuhitaji km n church girl ata pretend naye n church boy hata kilevi hajui, na always mwanaume humsoma kwanza mwanamke anayemtaka ndio amfuate kulingana na muonekane wake.
 
Duhhh, mtoa post tuambie wewe kama mwanaume kati ya hayo uliyoyabainisha Mangapi huwa unajieleza ukweli wako wote?? Men lie and women lie..... Over
 
Back
Top Bottom