Hivi ndivyo Vijana wa kazi wanavyo weza kukuibia kwenye shamba la kuku

Kwani wanalipwa shilingi ngapi hawa vijana wa kazi. Ukiwasimamia kama watumwa ndiyo yatatokea hayo. Lakini ukiwashirikisha kwenye mradi watakuwa upande wako.
Sasa mtu anakulindia mayai yako halafu hutaki ale mayai. Unafurahi akila maharage? Atakula mayai mangapi kwa siku.
 
Hivi mtu unawezaje kukariri sura za kuku zaidi ya 300...!!?

Sasa hapo itakubidi uwe na majina yao ili kila ukija unawaita majina......

NB;

Mradi wako wowote wa gharama unahitaji uangalizi wako wa karibu sana au mtu wako wa karibu ambaye ni muaminifu sana.......otherwise ni disaster
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom