Ndo maana mm nikifungua tu insta nakutana na wadada Wana twerk baaikoko za kumwaga sijui walijuaje kama napenda madem wenye mizigo na wakat huwa siwek like ili mtu yoyote asije kunishtukia kama naangaliaga hayo mamboDah tangazo limekaza nganganga, ndio maana umeshindwa kufikiri upande wa pili wa shilingi ukoje...
Ninavyofahamu Instagram wanauza taarifa zako kwa makampuni ya ki biashara ikiwa na maana kwamba... Utakua ukiona post za sponsored / Reels ya kile unacho LIKE kwa Sana.
Mfano : Ikiwa wewe unapenda Sana mavazi, na una LIKE post nyingi za mavazi basi INSTAGRAM watakua wakikuletea Sana post za mavazi, hii inamaana kwamba Kuna mfanyabiashara amelipia sponsored ad tangazo lake la mavazi kwahiyo INSTAGRAM wanalielekeza kwako wewe mpenzi wa fasion / mavazi.
Hivyohivyo ukiwa unapenda Sana misosi na una LIKE Sana post za misosi, basi utakua ukiona Sana post za misosi, INSTAGRAM watakua wanakuletea kile unachopenda na kuki LIKE kwa sana.
Kwa mantiki hiyo, hatuwezi kutumia neno INAKUUZA Kama ambavyo umesema kwenye tangazo lako, ulioaswa kutumia neno INAKUPELEKA kwa mfanyabiashara anaeuza kile unachokitaka / DEMAND.
Baba tangazo lako limekaza Sana, weka grease kidogo... Kwa tangazo hili hutoweza ku meet your AUDIENCE hapa, utakua ni Kama wale wafanyabiashara ambao kwenye Instagram wana post post nyingi za bidhaa na mauzo hakuna
Ume follow watu wengi wanaopost hizo posts, AU pale kwenye REELS huwa unaangalia Sana videos za dizaini hiyo.Ndo maana mm nikifungua tu insta nakutana na wadada Wana twerk baaikoko za kumwaga sijui walijuaje kama napenda madem wenye mizigo na wakat huwa siwek like ili mtu yoyote asije kunishtukia kama naangaliaga hayo mambo