Hivi ndivyo unavyo weza kuivuta hadhira: Katibu mwenezi anapogeuka mwanakwaya.

chipanga

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
710
434
Katibu mwenezi wa CCM Mheshimiwa Nape Nnauye akiwaimbia wimbo maelfu ya wafuasi wa chama chake waliofurika kumsikiliza katika mkutano wa hadhara uliofanyika hivi karibuni mjini Mbeya. Na kama haitoshi akaongeza na vionjo vya gitaa huku Spika wa zamani na mbunge wa Urambo magharibi Mheshimiwa Samwel Sitta akionyesha namna ya kuucheza wimbo huo.
 

Attachments

  • 270408_237906276230793_100000342668655_837547_67963_n[1].jpg
    270408_237906276230793_100000342668655_837547_67963_n[1].jpg
    63.5 KB · Views: 99
  • 284102_237907182897369_100000342668655_837549_2464978_n[1].jpg
    284102_237907182897369_100000342668655_837549_2464978_n[1].jpg
    58.9 KB · Views: 51
baba yake pia alikua mwanamuziki.hujui kuwa ccm ni chama cha kifamilia za mafisadi?wanarithishana
 
Siyo maelfu ya wafuasi...sema maelfu ya wanafunzi wa shule za jumuiya,tena waliwalazimisha!!
Ccm is *******
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom