Hivi ndivyo unatakiwa Kufanya bana, tete mali zako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ndivyo unatakiwa Kufanya bana, tete mali zako

Discussion in 'Jamii Photos' started by MaxShimba, Oct 22, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. Lastname

  Lastname JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 925
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kachokozwa huyo mwache awadunde msiamlie
   
 3. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Jamaa alikwisha sense kile ambacho kingetokea na kimetokea na ku-win kwani alikwisha weka strategy!!
   
 4. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  mimi naogopaga kweli kukutana na situation kama hiyo,alafu ukute wachokozi wamejazia....
   
 5. zimwimtu

  zimwimtu JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 1,889
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  ha ha ha..., jamaa kaonesha urume. na kajichukulia maujioko kwa dem wake.
   
 6. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Mimi nilishawishika kujiunga na sanaa ya shaolin temple nikiwa kidato cha pili baada ya manzi wangu kushikwa titi pale Mbowe club sasa Billicanas na mbavu nene, nilipotaka ku-react nilikoswa teke ikabidi niwe mpole.
  Lile teke lilinifanya nijiunge na hekalu la kujilinda lililokuwepo maeneo ya karibu na shule ya mzizima.
   
Loading...