Hivi ndivyo ukahaba unavyofanyika kupitia simu na mitandao ya kijamii

Dah kumbe aisee,Niliwahi kupotea njia Nikajoin Waplog nashukuru nikachomoka kabla sijachanganyikiwa.

"Proudly, brought to u by Bachelor Sugu"
 
Aise mi pia shuhuda wa hayo mambo. Nakumbuka mi nilianzaga kununua pale ccm kirumba mwanza ila ikatokea doria nikawa naogopa kukamatwa make ninavyoaminika na wazazi na ndugu ningeleta picha mbaya. Sasa mwaka Jana kipindi mile cha pasaka nikajiunga na group moja hivi la WhatsApp nikaagiza, ikawa kweli akaja tukafanya mambo yetu Siku nzima nikampa 45,000. Ninacho shangaa leo hii ukingia kwenye tabia hii ya kununua wanawake huwezi acha hata siku moja! Labda ufe, ila hii ya mtandaoni hasa WhatsApp hiyo ipo pia mnoo.
 
Hitwe nayo haiponyuma , wanawake wanaojiuza wamejaa tele Hitwe. Mimi nawazinguaga tu nawambia nipo Dar Ubungo riverside au Kibaha maili moja. Sometimes tunapanga miadibya kukutana lo! kumbe mimi sipo serious na nipo Nanyumbu huku.
 
Mm nataka demu nipo Arusha nina dry spell na baridi ya balaa Mtu mwenye kujua nawezaje pata online mda huu plz
 
Wakat fln nikiwaliwai kugaguwa simu ya mpenz wangu nikaona ana app ya badoo akili ajaka sawa had sasa ingawa nilimuacha
 
Write your reply...pia matapeli ni wengi ukituma hiyo elfu 10 anakublock n.a. hupati kitu .usitume ela bila kuonana n.a. mtu
 
Kuna group linaitwa Tanga raha nilishawahi kuunganishwa na jamaa yangu mmoja nilijitoa baada ya masaa mawili...ni hatar sana!
Group la nini mkuu? WhatsApp au Telegram? Naomba niungemo please nataka kufanya utafiti.
 
Waafrika maadili hawana,mtu anamkaz mamake,dadake au mwanae ana maadili huyo.?
Kuna jamaa amemkaza dadake wamezaaa na mtoto mmoja na familia inajua.
Mkuu hebu tema mate chini....ya kweli hii au tamthlia? Maweeeeee!!!!
 
Back
Top Bottom