Hivi ndivyo ukahaba unavyofanyika kupitia simu na mitandao ya kijamii

Ukimwi utaisha kwelii??
Impossible
_20180503_091210.JPG
 
Dunia inatupeleka huko na tutafika tu, wenye maadili yao ya kiafrica watasurrender
Waafrika maadili hawana,mtu anamkaz mamake,dadake au mwanae ana maadili huyo.?
Kuna jamaa amemkaza dadake wamezaaa na mtoto mmoja na familia inajua.
 
Kujidai tuna maadili lakini hakuna lolote
Ujue na ufukara wetu huu tunapenda kujifariji sana.
Ila nafsi zetu zinatusuta.
Magazeti kila kukich yanaripoti KUBAKWA KWA WATOTO.
Jana nimeskia kuna jamaa kambaka KIKONGWE.
Jana hiyohiyo nimeskia jamaa kambaka mtoto kwa Kumuahidi andazi.
Sijui maadili gani tunayohubiri
 
Kwa TAKWIMU zangu nilizofanya FACEBOOK ndio inayovunja rekodi kwa kuongoza kwa Ngono kila Mwaka,
Tangia enzi zile hata whatsapp,Insta au badoo hazijaanzishwa
Hadi leo FB ni kiboko kwa Ngono nchini TZ
 
Back
Top Bottom