ImpossibleUkimwi utaisha kwelii??
Waafrika maadili hawana,mtu anamkaz mamake,dadake au mwanae ana maadili huyo.?Dunia inatupeleka huko na tutafika tu, wenye maadili yao ya kiafrica watasurrender
Kujidai tuna maadili lakini hakuna loloteWaafrika maadili hawana,mtu anamkaz mamake,dadake au mwanae ana maadili huyo.?
Kuna jamaa amemkaza dadake wamezaaa na mtoto mmoja na familia inajua.
Ujue na ufukara wetu huu tunapenda kujifariji sana.Kujidai tuna maadili lakini hakuna lolote
Inna lillah
Hata mimi nishaokota mmoja humuMbona JF umeiacha nyuma akina Gudume hawaendi mbali wanawapata humu humu.
Yote yanawezekanaHata humu wapo!Madame wengi tu tena!
Kuna group linaitwa Tanga raha nilishawahi kuunganishwa na jamaa yangu mmoja nilijitoa baada ya masaa mawili...ni hatar sana!
Hatari vipi mkuuKuna group linaitwa Tanga raha nilishawahi kuunganishwa na jamaa yangu mmoja nilijitoa baada ya masaa mawili...ni hatar sana!