Hivi ndivyo Tz , Kenya na uganda wanavyojisifia na maraisinwao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ndivyo Tz , Kenya na uganda wanavyojisifia na maraisinwao

Discussion in 'Jamii Photos' started by Shine, Jan 12, 2012.

 1. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  224724_210209308996996_100000237868116_762330_4349379_n.jpg
  Sijui ni kweli ktk yote yanayosemwa na hizo katuni na hasa hili la Jk
   
 2. T

  TUMY JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh nimeiona ila nitarudi bdae kuja kuchangia ngoja nijishauri kwanza
   
 3. The Mockingjay

  The Mockingjay JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hili ni tusi la ukweli. Alaf wametuchora ka vile vizee vya vijiweni vinywa kahawa.
   
 4. Jagermaster

  Jagermaster JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 656
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Toa katuni za zamani hapa, hapa humfedheheshi jk unafedhehesha nchi
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kama nchi inafedhehesha kwanini isifedheheshwe?

  Mkitaka sifa fanyeni la maana.
   
 6. Futota

  Futota JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Haki ya mungu, waswahili wa Bongo bwana, hizo ndio zetu, sifuri kabisa
   
 7. S

  Song'ito JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  aisiii nimeipenda hii!! najua ni chungu na ngumu kumeza ila hatuna budi kuinywa!! namanisha hata kama hatutaki, ila ukweli ndo huo, kinachomanishwa hapo ni kuwa waakati wengine wanahangaika kupandisha uchumi sisi tumelala na hatuna la kujisifia... very constructive idea
   
 8. p

  pat john JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 245
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I do support you. Wakati viongozi wanahangaikia uchumi wa nchi zao sisi tunapiga porojo za vijiweni na kuwalinda mafisadi. Kwa kweli inauma ila ukweli ndio huo. tuna rasilmali nyingi mno kuliko wao lakini tumebaki nyuma.
   
 9. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  truth be told..................ndo hali halisi.
   
Loading...