Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

Ni kweli Sina fanbase Twitter Ni mgeni kule sababu sikuwa nikitumia Twitter before.

Seema nilipoona Jeff anawaseti watu awapige ndio Nika blow whistle si unaona I've saved people's life.

Kakimbia Twitter naona karudi Facebook kwa watoto.

Mwambie Kama forex Ina faida saana kwanini asitrade na familia Yake wawe matajiri wenyewe Kama Rotchild family au Rockefeller family?

Madogo mna vichwa vigumu saana.
Unahisi unaweza kuHold battle kwa akiri yangu ndogo mdau ana real die fans kachafuliwa na kila aina ya uchafu still anawatu wasiotaka elewa chochote utachoandika hata uandike huku unashuka mbinguni.

Mkuu uwezi hujiongezi fans wake wamekula sahani moja na Mabroo wote kule twitter mpaka Babayao Kigogo kaingilia kati still wamenchezeshea spana kama nyuki Kigogo nani asiyemjua.

Sasa wewe huna fanbase yoyote siunatwanga maji kwenye kinu boy nini kuchoma mafuta.
 
Mdogo wangu huwezi kunielewa leo, utanielewa kesho.

Technically, najua Ontario sio consistently profitable trader kwa hiyo anachofanya yeye anaitumia hiyo fanbase kutengeneza hela either legal au illegall kupitia, pesa za trainings, IB links, commission ambayo mostly analipwa na brokers watu wanapolose money.

Lakini at the end of the day wataokuja kuumia Ni newbies wengi aliowaokota kutoka vyuoni hivi karibuni.

So unaponiona nawasanua Madogo Ni kwa lengo zuri tu sababu I've been there, I've done that. Naujua mwisho na hatma yake mapema kabla hata mwisho haujafika.

Hao fanbase ambao hawataki kusikia wengi wamekamatwa na maneno sukari ya Ontario. Siwashangai maana hata mimi Kuna kipindi niliwahi kushindwa kukiruka kiunzi Cha maneno murua ya Ontario.

But I wish, wastuke mapema! Unless watastuka wakiwa wako ruined financially severely.
 
Mimi sio mdogo wako boy

1)Ontario sio profitable trader tangu niijue hiyo Forex sijawai sikia kuona muliwai kukubali huyu au yule ni profitable trader kwamantiki hii hiyo forex yenu na wote muliyopo huko hadi wewe ni mataper na wapoteza muda tu Biashara gani ambayo hamuna mtu ambao munaweza muweka mfano wa ptofitable nini kinakuwashiwishi kukaa huko...au ni kasumba ya Tz maana ukienda jukwaa fulani utaona raia wanasema Diamond hana pesa zozote anaigiza mziki haulipi huu upimbi ngozi nyeusi tumeirithi wapi.

Eleza kwa evidence kwanini sio profitable trader na je profitable trader ni nani na kama hayupo inaaman gani iyo forex.

2)Nani alikwambia fanbase ya Ontario ni new bies Ontarion ana follower wakutosha kabla hajaanza kufahamika na watu wa Twitter na si follower kwa kuomba Hundle kama utaratibu wenu wa chawa wa TOT...twitter alifikisha 8000 follower natural bila maHundle na kuFollowFolloe watu je hao ni bies ??

2) Ontario anapokea commission kutoka wapi kwa kampuni yake sasahivi ni ipi inayomfanya apokee kamisheni ?? Na je kamisheni ni illegal Tz??
 
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana hauwezi kucomprehend my level of understand kwenye hii arena ya digital economy specifically kwenye forex, stocks, bonds, cryptocurency e.t.c

Nimeamua kukuignore!

I'm gone.
 
Humble African..niliona comment yako jana twitter juu ya uzoefu wako wa kufanya hii biashara ni wazi Huyu Jeff alikua bado hajaijua na kwa ile mikataba uliyoweka kuhusu kutapeliwa na hawa jamaa ni dhahiri hii biashara ni nzuri ila makanjanja kama hawa kina Jeff ndio wanaiharibu!
Hebu nipe link ya twita nikasome comment ya humble African
 
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana hauwezi kucomprehend my level of understand kwenye hii arena ya digital economy specifically kwenye forex, stocks, bonds, cryptocurency e.t.c

Nimeamua kukuignore!

I'm gone.
Nenda na miutopolo yako.

Uwezo wako mkubwa then unadai umetaperiwa 10M unaina sisi watoto.

Uwezo wakk mkubwa hadi leo unasema hujawa profitable usione utabuluza kilamtu humu labda huko twitter hili jukwaa.
 
Back
Top Bottom