Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,485
- 34,788
Mkuu huo uzi unaitwaje niusakue...!! nione jins ulivyotema madini watu wakakutolea njeAt the peak ya haya mambo niliandika mada ya uchambuzi kuhusu forex.. Sikuwa na upande bali niliandika kama uchambuzi... Dah siisahau ile mada niliandamwa mno huku nikiambiwa najua nini ni afadhali nibaki na matunguli yangu mambo ya forex niwaachie wajuzi... Mwishowe mada ikawa executed...! Sikukubali nikapambana mpaka ikarudishwa... Wale ndugu sio nao ni wahanga!?