Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

Haya tuonyesheni basi hayo mahekalu mliyosimamisha na whips za level ya Cayenne, Q7 na Vogue mnazopiga nazo misele mitaani kwa profits za forex badala ya viscreenshots vya tecno vya faida ya $6 kwa siku!
sio lazima uendeshe magari kijana ila unaweza pata pesa ya kula na kuwekeza. usi krem
 
Mkund.u wa mamako, Halafu koma kuni quote. Choko wee! Unajifanya una akili sana, si ndiyo? Mtu gani ai-invest hela ya mafao na magaragaza mengine na ku empty bank account lengo apate hela ya kula? Pumbaaf!
hujui hata unachoo ongea mafao kivipi? empty bank account kivipi. kweli we shoga hii unaanza hata na mtaji wa buku 30 tu ili mradi akili yako.
 
Leo ndio Ontario kapata zile paper za yule broker anaekataa yeye si market maker baada ya kuweka hadharani anawaambia watu ni confidential let's discus way foward after this stumble!?

Na misukule wamo wanadiscuss way foward..Daah!

Jeff we ni genius mbaba. Bow to the nigga.
walioko huko tmt ndo wana discuss mkuu? watu wamelogwa na hio tmt nini!!
 
aiseeee mambo ni hatari jumatatu jenga
VVVVV.JPG
 
Kuna watu kibao humu JF walituasa kwamba Forex ni utapeli hilo kwanza napingana nalo kwa nguvu zote sababu sio kweli kwamba forex ni utapeli kabla sijafunguka mengine niwathibitishie nimejiridhisha bila hata lepe la mashaka kwamba Forex is real and its my future lifestyle na binafsi sijioni nikikoma kufanya Forex licha ya haya magumu ninayopitia bali mawazo yao ninayachukuliaga kama catalyst ya kutaka kuzidi kuijua hii biashara kwa mapana zaidi kujua weakness na strength zake na kujua potential scammer, wezi na matapeli wakoje maana wametawala hii biashara kwa kiasi kikubwa kutokana na kuwa na money liquidity kubwa kuliko soko lolote duniani..more than 6 trillion USD is traded daily on the Global financial exchange market..hiki ni kiasi kikubwa sana hivyo matapeli huwa wanazengea zengea kwenye magap Kama haya yenye mkwanja mrefu..my economic cake pie is in Forex that's why I wont quit it easily.

But changamoto kubwa ya Forex ni hawa brokers na trainers..ninaposema trainers nazungumzia mtu kama Ontario hawa waliochungulia fursa mapema na kuintroduce kwa watu nchini kwa kigezo cha kuitoa elimu kwa bei sawa na bure tusijue wana agenda yao ya siri na Wasauzi ya kutaka kuwaliza watanzania wenzao.

Ontario ni mtunzi mzuri wa story na ana kipawa cha kusimulia na kushawishi kwa ufasha na ni mtu mwenye uelewa mpana wa mambo but anakosa kitu muhimu sana katika maisha uwezo wa kusocialize na watu in harmony..he is not a leader he is a boss na ukiangalia there is a thin line between a leader and a Boss..Ontario ana dharau, kiburi, na kejeli mbaya sana bila kujalisha umri wa anaeongea nae. Hana attentive listening ukiongea nae anakuangalia kama Choo na hajali lolote najua wengi waliokutana nae watakiri huu ukweli mchungu kwake ukiona mtu ana urafiki na Ontario ujue huyo mtu analazimika kujishusha sana kwa huyu dogo ili waende along. Huwa nashangaa ni rafiki sana na Bold. Pole sana Bold..I know what you going through.

Wahenga humu walituhasa kwamba ukiitwa kwenye fursa tafakari mara mbili yaweza kuwa wewe ndio fursa.anyways tulipoitwa kwenye fursa mwanzoni mambo yalienda vizuri na humu tulikuwa tunavurumusha screenshot za profit tu kwa maelekezo ya Ontario ili tuwakoge haters hadi haters wakafyata but kadri siku zilivyoenda mambo yakawa kimya ikawa ni loss daily tu watu wamechukua viinua mgongo vyote vikafyekwa sokoni. Hakyamungu!

Saga lilianza around mwezi wa kumi baada ya Ontario kula njama ya siri na broker awe anampa pips 2 kwa kila kichwa na zikiwa zinatoka calls kibao kombo kwa siku na zote zilikuwa sio accurate hivyo na watu kutengenezewa mazingira ya kutrade more often inamaanisha wakitrade watu 1000 wakafungua position 7 kila mmoja na idadi ya spreads pips anazopewa kutoka kwa broker kwa mtu mmoja ni 2..kimahesabu anapata 1000×7×2= 14,000 pips hizi ni dola kibao kwa siku ..wandugu wanojua mahesabu zaidi wanajua ni madola kiasi gani jamaa kavuta, hili suala alituficha but aliwahi kusema "Bob Marley you can fool some people for sometime but you can't fool all the people all the time"... Tukashtuka..tukamuuliza..akakubali ila akakiri alituficha na hayo mamilion yanayopatikana ni kwa ajili ya kuendeshea ofisi ya TMT co Ltd iliyoko pale Jangid plaza.. Watoto wa maskini tukakubali tu kwa shingo upande ila tukawa tumeghafilishwa na kusikitishwa sana na hizi njama zao..hili likapita na tukajilazimisha kulimeza maana ukipenda boga upende na ua lake.

Tamaa ni mbaya sana..licha ya kuchukua mamilion kutokana na hizo pips hawakuridhika..bado tena walikuwa wanachukua pesa kibao kwa siri kwa ajili ya IB link kwa affiliate program waliotuunga nayo siku tunamaliza mafunzo bila ridhaa yetu kutoka kwa broker kwa sisi tukipata loss sokoni wao wanapata chochote maana broker wao ni market marker. Hakyamungu! People are heartless.

Kama ilivyo asili ya watu wenye tamaa mbaya wakivurugana basi wao hukimbilia kutafuta sympathy ya Wateja..juzi wakavurugana broker na TMT kama ilivyo tabia ya wezi na matapeli kugeukana.. Majuzi wenyewe wanakuja na habari kwamba yule Broker ni market Maker na mwizi..kweli? Wakati wewe mentor umeishi South afrika na umekuwa Trader kwa miaka kibao bado hujui status ya broker unae trade nae? Na inakuwaje mrecomend broker mwenye walakini na competency na efficiency yake? Broker nae anajitetea kwa kutuma texts kwa Wateja privately akimtuhumu huyo mentor kuwa ni batili na mbabaishaji na kuwasihi watu wamuignore!? Blalifuli!

Tangu mwanzo mchakato uligubikwa na walakini mkubwa uliokuwa unaendelea..kwanza kumlazimisha mtu afungue real account baada ya siku tano tu za kumaliza mafunzo na aweke laki tano kuanza kutrade ilikuwa ni ishara ya wizi wa wazi sema tulikuwa na trust na maneno sukari ya Ontario, thus we were blinded and we had fear of missing out easy Money.. Hatukujua!

Kutoa calls zaidi ya 7 kwa siku ni ishara mbaya ya kuwafanya clients waovetrade then wao wapige hela. Wizi huu.

Kuwaambia watu waongeze position ilhali wako in deep red ilikuwa ishara ya wizi, kuwataka watu waburn account zao wao wanufaike.

Kudiscourage matumizi ya stop loss ilhali ndio silaha ya kukinga mtaji wako kwenye Forex ilikuwa ishara ya wizi.

Watu wapoteze zaidi ili mpate zaidi maana kila ijumaa ilikuwa tunapunwa hela yote ya wiki nzima.

Mungu sio Sholo Mwamba, Yule broker market maker aliekuwa anatupiga sisi kwa tamaa kapitiliza kawafanyia mtimanyongo hadi kampuni ya TMT kaipuna zaidi ya nusu billion mapema mwezi wa kwanza. Imagine kampuni hii Changa ya huyu dogo imewazaje kupata nusu billion kwa muda mfupi hivi? Ni mikwanja aliyotuibia sisi misukule wake. But in life! "easy come..easy go"..ukikipata kiwepesi..kitaondoka kiwepesi pia. Nusu billion gone in a single month. Kweli JP Market broker ni hayawani!

Nitoe Rai kwa Ontario...sio kwamba namchukia hapana Bali naamini biashara inayohusisha watu moja kwa moja haiwezi kutokana na tabia yake mbaya ya asili..biashara na dharau, kebehi, utapeli na matusi havichangamani milele. Ni vyema akaendela na kilimo apate mil 19 zake kwa siku. Ameharibu kitu muhimu sana katika maisha yake ya biashara "Brand" and trust ya watu wengi aliowavuta kwa maandishi matamu humu JF..Trust ya watu pekee ni mtaji mkubwa kuliko hata mtaji wa fedha.

Fid Q aliwahi kusema neno lenye utamu siku zote halina ukweli na neno lisilo na utamu ndio lenye ukweli ndani yake. Tuwe makini sana na maneno matamu ya watu wa kariba ya Ontario.

Kwenye ile thread yake ya Namna alivyopiga milion 19 alipata kusema hivi "shika akili zao waachie mioyo yao" ndio kauli mbiu yake guys tuwe makini dogo asishike akili zetu kirahisi.

Namshukuru kwa kutuletea fursa hii adhimu lakini isiwe sababu ya kutuibia, kututapeli na kutunyanyasa economically and emotionally.

Rai kwa traders waliopigwa za uso na ndugu yao.."if you want to be strong learn how to fight alone" kwa kuwekeza Kwenye skills and self learning tunaweza kuwa self consistency profitable traders..let's ignore TMT they are scammer and predators and I don't recommend anyone to trust them.

Don't hate the game, hate the player.

Oooooopsiiii! Finally misukule wa Ontario tuko huru but tuko nyang'anyang'a kiuchumi. But it feels good kuwa huru.

Forex sio utapeli, matapeli ni mawakala wake.

Ni bora walimkavu...kuliko walimwengu!

Freedom!.

Hii kauli mbiu matata:):):)
 
Mkuu me nakuomba unifafanulie hata kwa ufupi FOREX ni kitu gani mbona nimesoma nyuzi nyingi sijawahi elewaga hii kitu.
 
Sio kila mtu ni Tapeli.
Join group la Telegram ujifunze kuhusu forex...
Signature Traders Tz (BTMM)

Wengi wananiuliza what is a signature trade?
The question should actually be what is YOUR signature trade?

Steve Mauro of the BTMM Strategy wants you to pick one signature trade from all the trades he teaches. This is a trade that you have mastered and it works very well for you.

Make Flash Cards of your signature trade(s) by looking at past charts and memorize the setup so that when you do see it; you will immediately recognize it

Dont trade all the time/ everyday. Wait for your signature trade setup, when you see it developing...Take the trade!

*Bottom line: Signature trade is a trade setup that you like the most e.g 50/50 bounce.

Note:You can also have 2 or 3 Signature trades.
Kama kuna maswali zaidi kuhusu forex usisite kuniinbox nikuunge Telegram group kwa mafunzo ya bure.
 
*STICK WITH BIG BROKERS, WHO ARE PROMINENT & HAVE BEEN TRIED & TESTED ALREADY. BEYOND REASONABLE DOUBT THEY ARE PROVED TO BE HONEST, PURE ECN,SMALL SPREADS FROM ZERO, OPEN & TRANSPARENT.*

*TO OPEN LIVE ACCOUNT & IF YOU WANT ME TO GUIDE YOU THROUGHOUT THE WHOLE PROCESS TILL YOU HAVE REACHED MT4 LIVE ACCOUNT. TICKMILL IS THE LEADING BROKER.*

*FEEL COMFORTABLE BY REGISTERING YOURSELF USING THE LINK BELOW.*




_*MEMBERS* USE THIS LINK_

https://secure.tickmill.com/redirec...ure.tickmill.com/trader/?task=1050&lang=2

*NOTE*

Below are the main points why to use Tickmill:

IpayAfrica mobile deposit / withdrawal option ( by next week will be available )

Those who will register with Tickmill using that IB link will get a discount on the commission charged on their trading activity on Pro account

Excellent trading conditions
Fast execution
Spreads from 0.0
85 Trading Instruments
No requotes
Negative Balance protection
Strong regulation
Segregated accounts
Industry Awarded
EAS and Algos Allowed
Fast withdrawals without commissions
Support in 15 languages via Chat, online message, email and phone
Mon-Fri 07:00-20:00 (GMT)
 
Wengi wananiuliza what is a signature trade?
The question should actually be what is YOUR signature trade?

Steve Mauro of the BTMM Strategy wants you to pick one signature trade from all the trades he teaches. This is a trade that you have mastered and it works very well for you.

Make Flash Cards of your signature trade(s) by looking at past charts and memorize the setup so that when you do see it; you will immediately recognize it

Dont trade all the time/ everyday. Wait for your signature trade setup, when you see it developing...Take the trade!

*Bottom line: Signature trade is a trade setup that you like the most e.g 50/50 bounce.

Note:You can also have 2 or 3 Signature trades.
Kama kuna maswali zaidi kuhusu forex usisite kuniinbox nikuunge Telegram group kwa mafunzo ya bure.

baada ya bure kuna kitu mnaaita primiamu huko walipia
 
Back
Top Bottom