Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

Mimi nimeanza kuongea na kuandika hivi hivi kabla hata dogo Ontario hajajiunga JF.. Mimi ni senior expert wa JF.. May be he is my updated old version of me who is beyond my version in scamming techniques. Ahahaha!

Kama sio fun wa ponzi schemes sijui hata Kwenye hiki kijiwe unatafuta nini? I think you better bounce maana hapa panatufaa sisi ponzi fans wa Forex.

See you then big bro.

Kutokana na judgement yako,wanaochangia wote kwenye huu uzi ni wapenda ponzi scheme?

Wewe kua JF Senior member ndio tiketi kwamba wewe una akili sana?Really?

This is hilarious!
 
Kutokana na judgement yako,wanaochangia wote kwenye huu uzi ni wapenda ponzi scheme?

Wewe kua JF Senior member ndio tiketi kwamba wewe una akili sana?Really?

This is hilarious!
Acha kuniwekea maneno mdomoni mzawa. Sijasema kwa kuwa senior member Nina akili sana..kwanza sijihesabu kama Nina akili maana nimetapeliwa kirahisi sana na mzee Baba. Ahahaha! Fool again kama westlife vile.

Sisi humu wote ni wapenda ponzi scheme ndio maana tupo hapa wasiopenda ponzi za forex baada ya kuchangia wako kwenye nyuzi walizo na interests nazo. Washakimbia huku. Sijui unasubiri nini wewe mkuu!?

Bounce dude!
 
Nifanyeje sasa maana daah...hii kitu kidogo inifilisi ati!
Sio wewe tu best! Mimi ndo dhohofu ilhali kiuchumi hapa..Ontario mtu mbaya sana. He is predator and merciless but simlaumu ndio maana nyerere alisema ubepari ni unyama sana. Yaani mtu anajali maslahi yake tu nyinyi mkafie mbali.

Bora tulioshtuka mapema we are safe kuna watu bado wako optimistic na maneno matamu ya jamaa.

Hakyamungu! Only time will tell.
 
Sio wewe tu best! Mimi ndo dhohofu ilhali kiuchumi hapa..Ontario mtu mbaya sana. He is predator and merciless but simlaumu ndio maana nyerere alisema ubepari ni unyama sana. Yaani mtu anajali maslahi yake tu nyingi mkafie mbali.

Bora tulioshtuka mapema we are safe kuna watu bado wako optimistic na maneno matamu ya jamaa.

Hakyamungu! Only time will tell.
We acha tu....unajua mtu kaishajeruhiwa so inabidi ajipe hope tu, but the situation turns to worse kila uchwao!

Anyway tuwaombee washtuke tu kama sisi, serious inahitaji roho mtakatifu haswa!
 
Fid Q aliwahi kusema neno lenye utamu siku zote halina ukweli na neno lisilo na utamu ndio lenye ukweli ndani yake. Tuwe makini sana na maneno matamu ya watu wa kariba ya Ontario.

Kwenye ile thread yake ya Namna alivyopiga milion 19 alipata kusema hivi "shika akili zao waachie mioyo yao" ndio kauli mbiu yake guys tuwe makini dogo asishike akili zetu kirahisi.

Kama Juma Nature vile alivyosisitiza kwenye ngoma yake ya mshikemshike ndege tunduni..sisi wajanja tumekimbia...! Ahahaha!
Hapana sip hivo!
"Hifadhi mioyo yao waachie akili zao"
niliupenda sana huu msemo
 
Sio wewe tu best! Mimi ndo dhohofu ilhali kiuchumi hapa..Ontario mtu mbaya sana. He is predator and merciless but simlaumu ndio maana nyerere alisema ubepari ni unyama sana. Yaani mtu anajali maslahi yake tu nyinyi mkafie mbali.

Bora tulioshtuka mapema we are safe kuna watu bado wako optimistic na maneno matamu ya jamaa.

Hakyamungu! Only time will tell.
Ila nyie wa mwanzoni si nasikia mlipiga hela maana JF nilikuwa naona mnatupia blue screen na ka-tag kenu kale [HASHTAG]#readmorethanyoutrade[/HASHTAG] halafu mnamaliza na [HASHTAG]#fornoreason[/HASHTAG]
 
Ahahaha! Tulikuwa tunakaribishwa hela yote ilirudi kwao na wakatupiga na vihela vyetu vya ngama. Si unajua manoeuvre za wapigaji wako kimkakati sana. Yaani ukichomoka una Mungu.

Tukatapeliwa for no reason yani.
 
nasikia walimu-add CEO JPM kwenye magroup yao watu wanamuuliza badala ya kujibu kuwa tatizo ni call za mentor wakamremove.
 
nasikia walimu-add CEO JPM kwenye magroup yao watu wanamuuliza badala ya kujibu kuwa tatizo ni call za mentor wakamremove.
Wale ni kama biashara za kimafia tu..wamedhulumiana wakaanza kurushiana lawama na kuchafuana wakajikuta wana leak hadi information zile ambazo ni confidential katika harakati ya kutafuta sympathy ya customers wao.

Kila upande ulitaka utuvune zaidi sisi.
 
hivi kuna sehemu yoyote huyu ndugu alijibu hizi tuhuma?
 
kumbe na silver ina pesa safi sana

xxxx.JPG
 
Haya tuonyesheni basi hayo mahekalu mliyosimamisha na whips za level ya Cayenne, Q7 na Vogue mnazopiga nazo misele mitaani kwa profits za forex badala ya viscreenshots vya tecno vya faida ya $6 kwa siku!
 
160 Reactions
Reply
Back
Top Bottom