Hivi ndivyo tukio la kushambuliwa Tundu Lissu lilivyoharibu heshima ya Tanzania

Tatizo mnapenda sana kuwaamin wazungu!hata akikwambia sasa hivi usiku na ni mchana wa jua kali utaamini.wazungu wametushikia akili sana wanatuburuza pembe kumbe hakuna majinga km haya.mi nimeishi nayo sana nayajua
 
Mkuu unajua unachoongea au unaleta utoto hapa jukwaani? Hao wazungu ni wajinga kisha wana maendeleo makubwa hivyo?
 
Kelele za chura....
..., si Kila mzungu anaakili, wengine ni bourges, kama huyu
 
Tatizo mnapenda sana kuwaamin wazungu!hata akikwambia sasa hivi usiku na ni mchana wa jua kali utaamini.wazungu wametushikia akili sana wanatuburuza pembe kumbe hakuna majinga km haya.mi nimeishi nayo sana nayajua

Hakuna unayeweza kumfundisha kuishi na wazungu. Kama ulienda Ulaya kubeba mizigo utaishia kubeba mizigo na usitarajie kubebwa na taasisi au serikali.

Kama ulienda Ulaya kuwa changudoa utaishia kuwa changudoa na hakuna atakayekubeba.

Wazungu na mimi nimeishi nao huku Ulaya na hakuna watu wazuri kama hawa, hawana unafiki kama huko kwetu.

Kama umeshindwa huku Ulaya rudi huko home.
 
Tatizo mnapenda sana kuwaamin wazungu!hata akikwambia sasa hivi usiku na ni mchana wa jua kali utaamini.wazungu wametushikia akili sana wanatuburuza pembe kumbe hakuna majinga km haya.mi nimeishi nayo sana nayajua
Kweli mkuu....umeishi na wazungu WA kolomije
 
Tatizo mnapenda sana kuwaamin wazungu!hata akikwambia sasa hivi usiku na ni mchana wa jua kali utaamini.wazungu wametushikia akili sana wanatuburuza pembe kumbe hakuna majinga km haya.mi nimeishi nayo sana nayajua
Inawezekana huna uwezo wa kujua uwezo wao. Umaskini wa akili hudhihirika katika uwezo wa kuyafikia maendeleo. Leo hii unapanda ndege zao, unatumia simu zao, unatumia dawa zao, unasafiria magari yao, unatumia computer zao. Unaishi kwa kutegemea misaada yao, halafu wakuzidi ujinga!! Wewe lazima ni mjinga shujaa.
 
Tatizo mnapenda sana kuwaamin wazungu!hata akikwambia sasa hivi usiku na ni mchana wa jua kali utaamini.wazungu wametushikia akili sana wanatuburuza pembe kumbe hakuna majinga km haya.mi nimeishi nayo sana nayajua
We sio mzima upimwe mkojo
 
Kelele za chura....
..., si Kila mzungu anaakili, wengine ni bourges, kama huyu
Hatuzungumzii mzungu mmoja mmoja bali tunazungumzia wazungu kama jamii. Na pia uwatazame waafrika kama jamii.

Kama akili yako ipo vizuri kabisa, jiulize ni nini ambacho kimegunduliwa na jamii ya waafrika ambacho Dunia inafaidi ukilinganisha na yale yaliyogundulika na hao wazungu ambao umewaita hawana akili, ambavyo sote tunanufaika, mojawapo ni huu uwezo kuwasiliana.
 
Back
Top Bottom