Hivi ndivyo tendo la NDOA linavyoombwa na baadhi ya Makabila

Wasukuma wanasema:

" Nalikulomba Mayu, Kiyumbo Mayu......."
mkuu Sikonge, hiyo Kiyumbo Mayu ndo kinanihii cha kufanyia nanihii au?
Nimependa hiyo, mi ntaanza kuitumia

mamaa kuba.....Kiyumba mayu bana!..fasta basi.
 
hahahaa! tusiweke hadharani watu wanaweza kunyimwa nanihii si unajua tarehe tayari?
jioni nitakutafuta kama upo town nikwambie over a flat bottle of Nyagi.
HEHEHEHE!we meti wewe?!
mbona hukunitafuta?
 
Kwani ina maana ni wanaume tu ndo wanaanzaga kuwataka wake zao? Mtupe na wanawake wanavyolianzisha
Wewe ni he/she? Tumwagie basi japo kiduchu. Ila nakumbuka kuna siku waifu aliniita chumbani wakati niko sebuleni naangalia TV. Nikamuuliza kulikoni nikiwa bado sebuleni. Akanambia anafanya usafi anaomba nikamsaidie kusogeza kabati. Nilipoingia chumbani nikamkuta ndo kwanza kalala kitandani kama alivozaliwa. Mzee mzima nikajua nilichoitiwa. Hata Sikurudi sebuleni kuzima TV.

nadhani wakati mwingine si lazima kutamka maneno wakati unataka, vitendo vyenyewe vinatosha kufikisha ujumbe kuwa sasa mpenzi wangu nahitaji.........................
Wewe ni he/she? Hebu tupe maexperience yako basi. (hayo ya vitendo)
 
mkuu Sikonge, hiyo Kiyumbo Mayu ndo kinanihii cha kufanyia nanihii au?
Nimependa hiyo, mi ntaanza kuitumia

mamaa kuba.....Kiyumba mayu bana!..fasta basi.
Kwa lugha rahisi inaitwa kifanyio!:D:D:D

Mshikiiiz hebu leta kiyumba mayu hapa basi.... LOL!
 
Si nilisahau kuwa jana ni siku ya wale wenzetu?
Ikanihusu fasta.
leo mkuu!!

Hehehe! Ilikuwa siku yao eti.
Walikuwa wanaadhimisha miaka 15 ya Ubeijing. Mgeni rasmi alikuwa KIKWETE! Wanawake bila WANAUME hamna kitu!

Hey... Hebu leta kiyumba mayu hapa Charity......:D:D:D
 
kuna jamaa yangu nilienda kumtembelea mahala hivi, nikalala kwake.
sasa usiku nikiwa chumbani, nikasikia akimwambia mkewe

Weee, njoo basi, mbona unaangalia TV tu mda wote mi nataka kulala.

nikajua eheeee!

Unanifurahisha sana Birigita na hii signature ndio imenishika kinoma

Basi Roho anena waziwazi, nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo na mafundisho ya shetani. Timoteo 4:1
 
Hehehe! Ilikuwa siku yao eti.
Walikuwa wanaadhimisha miaka 15 ya Ubeijing. Mgeni rasmi alikuwa KIKWETE! Wanawake bila WANAUME hamna kitu!

Hey... Hebu leta kiyumba mayu hapa Charity......:D:D:D

Hapo kwenye redi no KOMENTI! naogopa uwt.
Kwenye Blue........Naomba likizo inayokuja nipeleke nikachukue tuisheni rombo,
 
Hapo kwenye redi no KOMENTI! naogopa uwt.
Kwenye Blue........Naomba likizo inayokuja nipeleke nikachukue tuisheni rombo,

Hahahaha! Kamata likizo mamaaa!
Nikupeleke Romboooooo!
Nipigieeeee, hani wangu nipigieeee!
Nikuombe kiyumbo mayuuuuu!!!
 
hahahaha watu mmedata
Tuambie basi mama? wakati mko sebuleni na watoto na mzee mzuka ukampanda ghafla huwa anakuambiaje ili watoto wasistukie? Kumbuka huo unakuwa mchana baada ya lunch siku ya mapumziko.
 
Tuambie basi mama? wakati mko sebuleni na watoto na mzee mzuka ukampanda ghafla huwa anakuambiaje ili watoto wasistukie? Kumbuka huo unakuwa mchana baada ya lunch siku ya mapumziko.

Njia rahisi unakwenda chumbani afu unambeep kwenye simu yake..nadhan ataelewa tu mzee anataka chakula cha usku
 
Njia rahisi unakwenda chumbani afu unambeep kwenye simu yake..nadhan ataelewa tu mzee anataka chakula cha usku
Simu ni mateknolojia ya kisasa. Tunazungumzia ya kiasili

Du, inabidi tufungue chuo kwa ajili ya kozi hiyo tuu mamakeee!
We ni she/he? Toa uzoefu wako hapa, haya mambo hayahitaji darasa.
 
Tendo la ndoa kwa wanandoa katika makabila tofauti huombwa kwa viashirio tofauti:

''Mchagga"........'We mama Haika, uko wapi? Ntaacha!!!
"Mkurya"..........'Rara chini nikurenge"
"Mhaya"..........."Mama Koku if you are ready twende tuka-perform"
"Mnyakyusa"....."Findu fyangu we obhokela
"Mpare" ..........."Mama Foibe thou nikakudenge"
"Msukuma".."Mama Kabula twendee tukhalimege litonge"
"Mjaluo"..........."Twendege tukasukumane"
"Mmasai".........."Mama Yeyoooo nataka ile namesa mwensake saa hii"

Natamani kujua Tanga Line, Wanyamwezi na Dengereko wanaombaje gemu kwa wake zao?
Angalizo: Hii ni kwa wanandoa tu!!

Aroo Chris acha utani wewee jamaa.
Nimejistukia nilihisi kama jana usiku ulikuja kupiga chabo ukaniskia nikisema hivyo. Wee jamaa wewee!!
 
Aroo Chris acha utani wewee jamaa.
Nimejistukia nilihisi kama jana usiku ulikuja kupiga chabo ukaniskia nikisema hivyo. Wee jamaa wewee!!
eeh ALIKUJA!anaishi sumbawanga KWA WAKWE ZAKE HUYU X-PIN:D
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom