Omulangi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 1,036
- 265
We mhe Spike akikusikia utapelekwa mbele yake chini ya ulinzi!!!
We mhe Spike akikusikia utapelekwa mbele yake chini ya ulinzi!!!
kwa hiyo wanataka kusema ni 12, Mungu wangu
Mt. Yohana Paulo wa II mwombezi wa wajeruhiwa kwa risasi umwombee mtumishi huyu katika mateso yake asijeikana imani na hatimaye Mwenyezi amjalie uponyaji na kumrejeshea siha njema. Amina.
"Basi watu wote wakulao wataliwa; na adui zako wote watakwenda kufungwa kila mmoja wao; na hao waliokuteka nyara watatekwa, na wote waliokuwinda nitawafanya kuwa mawindo. Maana nitakurudishia afya, nami nitakuponya jeraha zako, asema BWANA..." Yeremia 30: 16-17.
MUNGU YU NAWE KAMANDA LISSU.
Umenikwaza Sana,Mungu hana sifa ya mimi kumuita baba,Mungu sii kiumbe,so next time jisemee mwenyewe ili kuondoa ukakasi wa aina hii!Dah, inanyon'gonyeza sana! Uko wapi Mungu! Tukumbuke basi wana wako, kama kuna mahali tulikukwaza tafadhali Baba mwenyezi Tusamehe sana!
Sio roho ya paka MUNGU bado anapenda aendelee kuishiMungu mkuu wa yote. Ila ki ukweli jamaa ana roho ya paka, ingekua mimi wenda risasi mbili tu ningewaachieni dunia yenu zamaani.