Hivi ndivyo risasi nane zilizotolewa mwilini mwa Lissu nchini Kenya, nje ya 5 zilizotolewa pale Dodoma

MasterP.

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
7,174
2,000
"Basi watu wote wakulao wataliwa; na adui zako wote watakwenda kufungwa kila mmoja wao; na hao waliokuteka nyara watatekwa, na wote waliokuwinda nitawafanya kuwa mawindo. Maana nitakurudishia afya, nami nitakuponya jeraha zako, asema BWANA..." Yeremia 30: 16-17.

MUNGU YU NAWE KAMANDA LISSU.
 

Root

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
39,542
2,000
Ndio hapo watu waone jinsi Mungu alivyo wa ajabu
Kama Mbowe angekubali Lissu abakie hapa Tanzania Lissu sijui kama hizo risasi nyingine zingeonekana
 

Baba Kiki

JF-Expert Member
May 31, 2012
1,542
2,000
"Basi watu wote wakulao wataliwa; na adui zako wote watakwenda kufungwa kila mmoja wao; na hao waliokuteka nyara watatekwa, na wote waliokuwinda nitawafanya kuwa mawindo. Maana nitakurudishia afya, nami nitakuponya jeraha zako, asema BWANA..." Yeremia 30: 16-17.

MUNGU YU NAWE KAMANDA LISSU.

Post hii imenipa nguvu ya ajabu asubuhi. Kweli Neno La Mungu huponya kila aina ya msiba. Ubarikiwe sana
 

Malkia bora

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
765
1,000
Inatia huzuni kubwa mno. Machozi yanatutoka tunasali Baba Mungu umpunguzie maumivu na umponye polepole. Pole familia yake, ndugu na jamaa na wapenda haki na amani wote.
 

KAPURO

JF-Expert Member
Feb 12, 2016
235
250
Mungu anamakusudi yake kwa Tanzania kupitia Tundu Lissu. Angetaka afe Angekufa siku ile ile Mimi sina wasiwasi na Mungu hata chembe Tundu Lissu atapona na kurejea ktk hali yake ya kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Wonderful

JF-Expert Member
Apr 8, 2015
7,370
2,000
Dah, inanyon'gonyeza sana! Uko wapi Mungu! Tukumbuke basi wana wako, kama kuna mahali tulikukwaza tafadhali Baba mwenyezi Tusamehe sana!
Umenikwaza Sana,Mungu hana sifa ya mimi kumuita baba,Mungu sii kiumbe,so next time jisemee mwenyewe ili kuondoa ukakasi wa aina hii!
Mungu awe nawe daima mh Tundu Lissu!
 

wa mchangani

JF-Expert Member
Feb 23, 2017
1,418
2,000
Baba turehemu sisi wakosefu lakini siku zote umeonyesha upendo kwetu,sikia maombi yetu ndugu yetu Lissu apone,Wewe ndo tabibu wetu Mkuu, Fanya muujiza wako Lissu apone haraka katika jina la Yesu amina

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Saharavoice

JF-Expert Member
Aug 30, 2007
3,198
2,000
Unyama uliopitiliza na wa kiwango cha juu sana, najaribu kufikiri namna alivyookoka ni maajabu ya Mungu peke yake.

I wish him well.

Kama ambavyo Mungu amekataa kuruhusu kifo Kwa Tundu Lissu, vivyo hivyo kwa utukufu wake atamrudishia uzima wa viungo vyake vyote - Amen
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom