Hivi ndivyo risasi nane zilizotolewa mwilini mwa Lissu nchini Kenya, nje ya 5 zilizotolewa pale Dodoma

Yaani inaumiza mno, kila ukiwaza alivyokua anashtuka risasi zinapovunja mifupa Yale maumivu moyoni nawaza tofauti Sana, laiti ningekua na uwezo sijui ningefanyaje kwakweli.
Uwezo ulionao kwa sasa ni SALA na rasilimali PESA kuchangia matibabu yake!
Mungu wetu ni mwema atamponya japo atakuwa na majereha makubwa
 
Binadamu tumekuwa na roho mbaya Sana, yaani unam miminia mwenzako risasi zaidi ya 30 ?
Aisee huu ni unyama usio kubalika hata kidogo, get well soo TL.
 
Alafu unakuta watu kila wakisimama wanatumia jina LA Mungu kutafuta kuaminiwa na wananchi..Ee Mungu baba wa mbinguni nakuomba ukaonekane katika wale wote wakudhihakiao nakulitumia jina lako kuhadaa watu.Mponye kamanda wetu lissu na uwaoneshe watesi wake kama wewe ni Mkuu.kwa jina LA Yesu kristo aliye hai.

Sent using Jamii Forums mobile app
AMINA
 
Kutokana na huo mchoro Nmejaribu kuwaza how is it possible Mguu wa Kulia uumie zaid kuliko wa kushoto considering the fact that Mguu wa kushoto ndio ulikuwa mlangoni unapokaa kwenye gar na Pia ndio upande uliopigwa na risasi zaid kuliko upande wa dereva.
Sjui ila nmewza tu from the image.

Ni position ya miguu tu!! Inawezekana wa kulia alinyoosha wa kushoto kakunja!! Pale wa kulia ulipokuwa ndipo risasi nyingi zikamiminikia hapo. Au vice versa lakini kikubwa miguu inaonekana haikukaa sawa, aliipishanisha na ulipokuwa wa kulia ndipo palishambuliwa zaidi!!
 
Ni position ya miguu tu!! Inawezekana wa kulia alinyoosha wa kushoto kakunja!! Pale wa kulia ulipokuwa ndipo risasi nyingi zikamiminikia hapo. Au vice versa lakini kikubwa miguu inaonekana haikukaa sawa, aliipishanisha na ulipokuwa wa kulia ndipo palishambuliwa zaidi!!
Okey its possible pia
 
Mwenyezi Mungu, ikikupendeza lipiza kisasi kwa yeyote aliyehusika kupanga, kuagiza na kutekekeleza shambulio hili dhidi ya Mheshimiwa Lisu kama maandiko yako yalivyonena. Nachofahamu Lissu alisema ukweli kwa maslahi ya taifa kwa kuzingatia sheria zilizopo.
 
Ghafla kwa taarifa hii utamsikia mwakayembe akikurupuka nakuagiza kulipiga marufuku hili li gazeti kwa agizo toka juu
Kabla hajatoa pole kwa Mh. Lisu!?
Mwenyezi Mungu amuafu na kumpa afya na ushindi TL dhidi ya adui zake
 
Back
Top Bottom