Hivi ndivyo Rais Bill Clinton na Monica Lewinsky walivyofumaniwa Ikulu

walichokuwa wana niudhi ni kufanyana mpaka kwenye ma bench ya Ikulu.

ofisi yote inanujia naniii.............
 
Hii kesi niliwahi kuisikiliza siku ya IMPEACHMENT ya Mh. Rais Clinton. Kuna jamaa moja lilisimama kwa ajili ya kumtetea Mh. Rais likasema statement hii huwa siisahau. THE IMPEACHABLE SENSES ARE NOT PROVABLE, AND THE PROVABLE SENSES ARE NOT IMPEACHABLE. Nilichoka siku hiyo baada ya kusikia statement hiyo. Nilikubali kuwa kuna watu wanajua kucheza na maneno duniani!
kwa sababu hiyo wamarekani walianza kuhisi kuwa na wabunge wengi wanasheria kuna madhara
 
Back
Top Bottom