Hivi ndivyo Rais Bill Clinton na Monica Lewinsky walivyofumaniwa Ikulu

Khaa mchepuko mmoja tu kelele hivyo...
huu mfumo wa Urais unawabana sana wakuu wa nchi...
Zamani MFalme akipenda mwanammke wa nje huko ,unakua Concubine hao hao ma-concubine wana levels....level1,level2 -5 Bado kuna wale Royal maids(court ladies)... bado kuna ma- countersan walikua wanajibwedea tu.
 
Kwanini usituletee na skendo ya yule bwana mkubwa aliyezaa na makinikia yetu.

Nasikia sikia inavuma hiyo
 
Yalimshinda Mfalme Daudi, Yakamshinda Selemani, Adamu akaponzwa na Hawa, Samsoni akaponzwa na Delila, Mugabe akaponzwa na grace, Clinton akaponzwa na Monica.. Ivi mimi ni nani hata nisalimike?
Kitoto chetu je?
Kile da Mange anachokiongeleaga sana
 
Hii kesi niliwahi kuisikiliza siku ya IMPEACHMENT ya Mh. Rais Clinton. Kuna jamaa moja lilisimama kwa ajili ya kumtetea Mh. Rais likasema statement hii huwa siisahau. THE IMPEACHABLE SENSES ARE NOT PROVABLE, AND THE PROVABLE SENSES ARE NOT IMPEACHABLE. Nilichoka siku hiyo baada ya kusikia statement hiyo. Nilikubali kuwa kuna watu wanajua kucheza na maneno duniani!
Daaah umeamua kutukatili kabisa sie tulisoma Kigamboni Primary School, hebu fanya utu kidogo na hayo uliyo bold mkuu uyapeleke kiswahili
 
Hii kesi niliwahi kuisikiliza siku ya IMPEACHMENT ya Mh. Rais Clinton. Kuna jamaa moja lilisimama kwa ajili ya kumtetea Mh. Rais likasema statement hii huwa siisahau. THE IMPEACHABLE SENSES ARE NOT PROVABLE, AND THE PROVABLE SENSES ARE NOT IMPEACHABLE. Nilichoka siku hiyo baada ya kusikia statement hiyo. Nilikubali kuwa kuna watu wanajua kucheza na maneno duniani!
Nitafsirie
 
Back
Top Bottom