...hivi ndivyo prof. Tibaijuka atakavyoangushwa 2015 pale Muleba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

...hivi ndivyo prof. Tibaijuka atakavyoangushwa 2015 pale Muleba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwakiluma, Feb 21, 2012.

 1. Mwakiluma

  Mwakiluma Senior Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ...Hakika prof. Tibaijuka sasa ni dhahiri kwamba hawezi kurudi tena bungeni...hii ni analysis yangu niliyoifanya...
  1. Mara baada tu ya kuchaguliwa kuwa mbunge na kuteuliwa na rais jakaya kikwete kuwa waziri mama huyu alikimbilia pale Kariakoo kwenda kupambana na matajiri wa yale magorofa badala ya kwenda jimboni kwake na kwenda kuwashukuru wananchi kwa kumpa ridhaa...mama huyu anatumia muda wake mwingi kupambana na matahiri wa dar es salaam badala ya kushughulikia matatizo ya wapiga kura wake...

  2. Katika kampeni zake mwaka 2010 aliahidi kuifanya muleba kama ulaya kwa sababu eti anamarfiki wengi wa nje ambao wangeweza kumsaidia...lakini sivyo ilivyofanyika badala yake mwezi wa kwanza alipoenda na mpango wake wa kupanda miti na kuamua kuwashirikisha wananchi wananchi walikataa na alipowauliza wananchi pale jukwaani kuwa kuna watu wanajuta kunichagua mimi wananchi wengi haraka waliitikia NDIYOOOOOO....ndipo akaamua kuwakebehi kwa kusema mwenye dukuduku moyoni bora aiseme pale kwani muda wake wa kuwa mbunge bado miaka minne na wakiamua kubaki na dukuduku moyoni wanaweza kufa nazo...

  3. Alipopeleka mahindi ya msaada kutokana na njaa iliyoikumba wilaya ya muleba mahindi hayo yaliishia mikononi mwa watendaji wa chini kutokana na usimamizi mbaya hivyo wananchi walikasirika sana na kuendeleza hasira zao kwa mama huyu...

  4. Matarajio ya wananchi wa Muleba na Taifa juu ya mama huyu yamekuwa tofauti kabisa...pamoja na uzoefu wake wa kuongoza taasisi kubwa ya UN... bado huyu mama anaonekana ni mzigo hasa kwa wakazi wa bukoba kwani hakuna alichofanya...na utofauti wa matarajio haya ya wananchi wengi pamoja na utendaji wa mama huyu ndivyo vitakavyomwangusha vibaya mama huyu pale Muleba mwaka 2015...

  4. Shule iliyochini yake ya BABRO JOHNSON ya jijini dar es salaam ilitakiwa itoe elimu bure kwa yatima na watoto waliokuwa kwenye mazingira magumu...lakini imekuwa tofauti...pamoja na misaada kibao anayopata kutoka nje kwa wahisani mama huyu juu ya shule hii ili itoe elimu bure kwa kundi hili la watu yeye ameingiwa na tamaa ya pesa na kuanza kuchukua watoto wa matajiri huku akiwalipisha ada kubwa na kufanya idadi ya yatima na wasiojiweza shuleni hapo kupungua kila mwaka kwani nafasi zao zimechukuliwa na wenye uwezo...

  5. Yeye aliwaambia wanamuleba kuwa amestaafu UN lakini wengi waliingiwa na hofu kutokana na mradi wake wa kusambaza maji muleba yote juu ya alikopata fedha zile...sasa imegundulika kuwa ufujaji wa pesa zile za UN na kuamua kuja kujenga miradi ya maji pale muleba ili kujiimarisha kisiasa ndivyo vilivyomuondoa mama huyo pale UN...mama huyu ni miongoni mwa wanawake watatu kutoka tanzania wanaoonyesha dalili za kushindwa mara wanapokabidhiwa nyadhifa za kimataifa...alianza mongella akaja huyu mama na sasa ni Migiro aliyedhihirisha wazi kuwa alikuwa ni mzigo kwa BAN-KIMOON na hivyo bani kuamua kutomuongezea tena miaka mingine ya kuongoza...

  NB...analysis yangu haisemi iwapo jimbo hilo litaenda upinzani ila uamuzi wa ccm juu ya mama huyu ndio utakaoamua jimbo hilo liende wapi...  Nawasilisha,,,,
   
 2. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,725
  Likes Received: 1,632
  Trophy Points: 280
  kwa kweli ni mzigo sana bora angepata Askari Kamamnda Tibaigana, ameahaidi mengi sana lakini kazi zero, na watu wamuleba wanamsimamo, wakisema tunakupa wana kupa wakisema no ni no. labda kwa kuwa umemsema ataamuka uongozi dili.
   
 3. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Prof Tibaikuja alichaguliwa na wana Muleba? You must be kidding? Check your fact.

  If my brain still serves me correct, Prof. Tibaijuka hakuwahi kuchaguliwa na Wana Muleba
  bali alipita bila kupingwa. (again because ubovu wa katiba yetu).

  All in All as far as atakayekuja atakuwa CCM wether ni Tibaigana au Masilingi mambo
  yataendelea kuwa yale yale, Mzizi wa fitina ni kui VOTE OUT CCM, wana Muleba think out
  of the box.
   
 4. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  But hey, she's extremely intelligent.
   
 5. Malafyale

  Malafyale JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 11,214
  Likes Received: 3,626
  Trophy Points: 280
  Mama huyu kabla hajawa Mbunge ALIKUWA NA REKODI YEYOTE YA KUTUKUKA jimboni kwake Muleba?Kama jibu ni NO sasa walitegemea nini?Ni kilio kile kile kama Mbunge wetu tena kwa mihula 2 sasa nyumbani kwetu Kyela!Yeye kakazania UFISADI tu huku Kyela yetu inasonga nyuma kwa kasi ya kutisha!Hamna maji,barabara,matibabu,elimu duni na kikubwa zaidi hata kimichezo sasa ni ziiiii!
   
 6. Liz Senior

  Liz Senior JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2012
  Joined: Apr 19, 2007
  Messages: 485
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  :A S-confused1: ushahidi ni upi hapa?
   
 7. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2,342
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  Hayo ni maoni yako binafsi. Anyway ngoja tuwasikie watu wa Nshamba buganguzi kishanda rushwa mubunda nk watavyosema mkuu. Uwanja wao huu.
   
 8. Malafyale

  Malafyale JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 11,214
  Likes Received: 3,626
  Trophy Points: 280
  Hayo ya intelligent yanamnufaisha yeye,watoto wake na nduguze!Muleba wanataka maji,barabara na huduma bora za afya!Hatuhitaji Mbunge extremely intelligent sisi!Kule Korogwe Vijijini Mganga Maji marefu alimuangusha Profesa Mndolwa wa Teknohama na nawapongeza kwa hilo maana hawa wasomi wetu hamna lolote zaidi ya ubinafsi tu!
   
 9. Malafyale

  Malafyale JF-Expert Member

  #9
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 11,214
  Likes Received: 3,626
  Trophy Points: 280
  Buganguzi ndiyo nyumbani kwa Kamanda Tibaigana!Sidhani kama Mama Tibaijuka ana wafuasi wengi huko!
   
 10. L

  LISAH Senior Member

  #10
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyu wenu anaakili kagundua kuwa chanzo cha yeye kukosa mgao wa kuendeleza kyela ni Mafisadi waliojichotea mapesa ya wa TZ.

  Je wewe kama mwanachi wa Kyela unafanya nini kwa nafasi yako kuikomboa na kuindeleza Kyela?
   
 11. Mwakiluma

  Mwakiluma Senior Member

  #11
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ...hivi nini maana ya kupita bila kupingwa...mimi nadhani ni kwa sababu alikuwa chaguo la wana muleba...na kuwa chaguo la wanamuleba maana yake nini...maana yake walikuwa na imani kubwa dhidi yake...hata vyama vya upinzani vilimwamini mama huyu...hii ndio maana yangu hasa ya kusema alichaguliwa na wanamuleba...nadhani tunaweza kuelewana mwana jf mwenzangu...
   
 12. L

  LISAH Senior Member

  #12
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Katika mawaziri wote namuona huyu angalau ana fanya kazi na anamawazo chanya big up mama songa, iangalie TZ kwa ujumla wake
   
 13. Mwakiluma

  Mwakiluma Senior Member

  #13
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  hivi nini maana ya kupita bila kupingwa...mimi nadhani ni kwa sababu alikuwa chaguo la wana muleba...na kuwa chaguo la wanamuleba maana yake nini...maana yake walikuwa na imani kubwa dhidi yake...hata vyama vya upinzani vilimwamini mama huyu...hii ndio maana yangu hasa ya kusema alichaguliwa na wanamuleba...nadhani tunaweza kuelewana mwana jf mwenzangu...
   
 14. English Learner

  English Learner JF-Expert Member

  #14
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 346
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Members,

  Allow me to reserve this chance on the first page of this nonsense post. I don't need to argue, I want to reveal the stupidity of the poster. So, I cordially request your patience while I am compiling quick facts to counteract this malicious post.

  I will be back …..


  Yes, I am back ...lets go

  I remember well Prof. Tiba passed unopposed so she used her most of the campaign time to go around for giving thanks to her not only Wananchi but also the opposition parties. Partly she also participated in campaigning for other CCM candidates. One time I saw her in Bumbire Island giving thanks and campaigning for JK. Leadership is all about managing others, managing resources, and delegating. Once she was appointed to becomen the Minister, Mama Anna recruited a number of personal aides to support in fulfilling her development agenda. These aides are paid monthly from her personal coffer. Among few I know are the Extension and Community Organization Officers daily working with farmers and Entrepreneurs respectively in the wards of her constituency. Already people are starting to sense progress in farming and enterprise development. There are good lessons to draw from so far established farmers cooperative, production and economic groups. If you are on the ground try to visit Nshamba, bushumba and talk to farmers. Regarding her fights with those you call riches, I wonder, if she doesn't act vigorously to rescue and secure the public resources then what is her job as the Minister? She would be crazy she fights wish no reason. Nevertheless, the most crazy is that person who doesn't see the reason behind such inevitable fighting.

  Click here: http://www.dailynews.co.tz/home/?n=26837&cat=home

  This is one of the examples. When I have time I promise to share more links

  However, Mwakiluma try to think rationally. Are the foreigners your uncles and aunts? Why them to give you free lunches? And who gave them what you want from them for free?

  Mwakiluma, why are you trying to own the highest authority you ever won't posses? From when did you become the constituency (Muleba), region (Bukoba) state (Taifa) spokesperson? Is there any link between being MP of Muleba and becoming a burden to Wananchi in Bukoba?

  This allegation is not new. But none has ever tried to go beyond at least by giving a small tangible evidence. Just to update and teach you that the right to speak should be preceded by the thoroughly research, visit below quotes from one of the BABRO JOHNSON's Trustees.
  [​IMG]

  [​IMG]


  [​IMG]
   
 15. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #15
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Katika demokrasia ya KWELI ya vyama vingi hakuna kitu kama kupita bila KUPINGWA. Huko mbinguni kwenyewe MUNGU mwenyewe anapingwa sembuse BINADAMU?

  Kupita bila kupingwa in UBAKAJI wa demokrasia ulioruhusiwa na NEC kwasababu ya katiba mbovu. Kama anapendwa kuliko hata huyo Mungu anayepingwa huko Mbinginu kwanini basi asipigiwe kura za NDIYO na HAPANA?

  Hata yule Mu-CCM aliyetuma majambazi na kumpora fomu mgombea wa CDM siku ya mwisho anazipeleka kwa msimamizi wa uchaguzi, ikapelekea kupita bila KUPINGWA naye ukasema lilikuwa ni chaguo la wananchi basi hiyo ni DEMOKRASIA ya nchi ya MAJUHA!

  The moral of the story ni kwamba unajuaje 2015 Prof. Tibaijuka hatatumia "uJANJA" aliotumia 2010 wa kupita bila kupingwa? i.e, kuwa mbunge bila ya kuhitaji kura za hao Wana-Muleba wanaomlalamikia sasa?! TAFAKARI
   
 16. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #16
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 503
  Trophy Points: 280
  Sasa mnataka kumharibia kwa sababu tu amewaudhi kwenye open space mnazojenga? na kwa info ambazo tumezipata! Mama amefichua pesa ambazo wana Kigamboni wanatakiwa kulipwa na hao matajiri walonunua nasikia Eka moja mtu anatakiwa kulipwa Tsh 800m (Million Mia Nane) nyie ndio mnafunika mnataka kudhulumu watu yeye amekiti amekaza mradi upite lakini watu walipwe kama inavostahiki, kama tajiri anavotaka watu walipwe . sasa nyie mafisadi ndio mnamharibia na kumuona hafai kwa kuwaumbua?????
   
 17. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #17
  Feb 21, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Thread nyingine muwe mnaziacha zinawapita sio kila thread lazima mgonge key-board hasa mahala ambapo huna uhakika na kile unachoandika!! Toka lini huyo Mndolwa aliyeshindwa na Maji Marefu akaitwa "PROFESA" na ni wa Teknohama ya chuo gani? Sometimes it pays to be an onlooker.!
   
 18. Mwakiluma

  Mwakiluma Senior Member

  #18
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ...busara ni ile hali ya kujizuia kusema kile kisichofaa...kila mtu ana chakusema moyoni ila busara ndiyo inayomuongoza mtu huyu kusema kile kinachofaa...hivi kila mtu angeamua kuandika kama wewe ulivyoaandika kwa post zinazomkera kwa kusema ukweli kama hii...umejidhihirisha ni namna gani wana jf wasihangaike kuchangia post yoyote utayoiweka mahala hapa...where is nonesenceness of this post...kama matusi kwako ndiyo mawazo basi hutofautiani na mtu tahila anayeweza kumtukana kila mtu barabarani bila kujali huyu mtu ni nani...better you stay quite if you have no any strong argument...
   
 19. Mwakiluma

  Mwakiluma Senior Member

  #19
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ...prof. Anna Tibaijuka amejaribu bila mafanikio kuwaonyesha wananchi wa muleba kwamba anawajali...katika safari zake zote jimboni kule amerudi bila mafanikio...hii ni dalili ya kushindwa kwa tibaijuka kule muleba...mimi nadhani huyu mama amezeeka sasa na anapaswa ajiunge na baraza la wazee la ccm ili awe mshauri wa chama chake...
   
 20. rweyy

  rweyy Senior Member

  #20
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  ngoja wakome kwa kutopata maji hasa hao wakina mama walijidai wanaweza sasa yako wapi pale palifaa mtu kama Tibaigana
   
Loading...