Sasa kama ni fair play siku moja Znz imchague mtu wa bara awe rais wa Znz wao wanataka ya muungano ya kwao AhaaaMzanzibar awe rais wa JMT? Labda Kama CCM itakuwa tayari kupoteza hicho kiti. Yaani watia Nia 40 halafu wakatwe wote abaki mzanzibar? Siyo rahisi. Watanganyika watakuwa tayari kumpa hata musukuma wa geita na siyo mzanzibar.