Hivi ndivyo pesa zetu zinavyotafunwa na hii mifuko ya jamii

SEMA SISI WATANZANIA WAPOLE SANA but ingekua nchi za wenzetu uko wangeandamana mpaka haki inatendeka.
 
Sina ufahamu mkubwa kwenye haya masuala kwa hiyo naomba univumilie kwa maswali ya kipuuzi....

Ni hivi hizo huduma za bima kwa mfano ya afya....inakuwa responsible na gharama za matibabu za mwanachama hata kama hayo matibabu yatakuwa ni ghali kiasi gani au kuna limit ya wao kuchangia kutokana na status ya uchangiaji kwenye huo mfuko......???!!

Hapo ndo utamu wa kamari unapokuja hehehehe swali zuri sana.

Wakusanyaji hela leo kwa aajili ya kutumika (kukufaa unayekusanya) baadae siku zote wakati wa kukusanya hela hakuna tabu na unaambiwa jaza fomu haraka, ila ili ulipwe................ hehehe kama hujawachezea chura basi ucheze baikoko na wanogewe utamu ndo utalipwa. Kwenye matibabu huwa wanaweka sheria kwamba utatibiwa kwa iwango kadhaa ila ikizidi hapo au gonjwa likiwa hili utahitajika kuongeza pesa. Ni kamari flani hivi.
Kiufupi kuna vigezo vyao wameviwekayaani ili ulipwe au utibiwe unawekewa classes. Mfano utaambiwa matibabu ya macho au meno yasizidi laki 3. Ikitokea operation au big complication limit ji milioni 2 na vitu kama hivyo.

Kasie.
 
Halafu kirahisi rahis tu mtu anakuja na kusema ili mwanachama achukue pesa yake ni lazima afikishe miaka 55 au 60! Halafu wakati huo huo unasikia mfuko fulani umetafuna mamilioni ya pesa.
NSSF yametafunwa matrion na kinarawa wizi huo dr dau yupo mtaani anatumbua!
 
Makonda na bima ya afya iwe sheria wapi na wapi? Ni kwa ajili ya ofisi yake au Tanzania?.......Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha.

Nilisikia wakitangaza kwenye radio ametoa hilo tamko sasa alimaanisha kwa ofisi yake au kwa nchi nzima hapo ndo sijajua.
 
Hapo ndo utamu wa kamari unapokuja hehehehe swali zuri sana.

Wakusanyaji hela leo kwa aajili ya kutumika (kukufaa unayekusanya) baadae siku zote wakati wa kukusanya hela hakuna tabu na unaambiwa jaza fomu haraka, ila ili ulipwe................ hehehe kama hujawachezea chura basi ucheze baikoko na wanogewe utamu ndo utalipwa. Kwenye matibabu huwa wanaweka sheria kwamba utatibiwa kwa iwango kadhaa ila ikizidi hapo au gonjwa likiwa hili utahitajika kuongeza pesa. Ni kamari flani hivi.
Kiufupi kuna vigezo vyao wameviwekayaani ili ulipwe au utibiwe unawekewa classes. Mfano utaambiwa matibabu ya macho au meno yasizidi laki 3. Ikitokea operation au big complication limit ji milioni 2 na vitu kama hivyo.

Kasie.
Asante ndugu kwa kunitoa gizani.....
 
Back
Top Bottom