Na hao watu wawili wenye 5,1% ?Adili, kuna hisa za Serikali hapo, asilimia 32 chini ya Msajili wa Hazina. General Public nadhani ni kumaanisha umma, wananchi mmoja mmoja...
Hivi hiyo NICOL inakuweje? NMB wakilipa gawio la NICOL linaenda wapi? Waliokuwa na hisa NICOL waibuke wafatilie magawio haya nani ananchukua. ........ akati NICOL ilishakufa jee? Mfu huwa analipwa? Kama halipwi warithi wake ni kina nani?
Nafikiri The Boss una interest hapa nilikuona kwenye uzi fulani iliishia wapi kuhusu hisa za NICOL?
Pole mwaego ila kuna kitu hapo wananchi hawajawekwa wazi.yaani we acha tu hii nchi wizi kila sehemu....
unanitonesha kidonda tu hapo
Pole mwaego ila kuna kitu hapo wananchi hawajawekwa wazi.
Macho ya wananchi yanamwagiwa mchanga hivihivi halafu wao wanajazia mifuko ni mwao. ....wizi ni mkubwa
daylight robbery
bado Sanlam nayo...wameibadili jina...
na hatujui hata faida inaenda wapi
muulizeni mengiNIICOL ipo? kama haipo hizo shares za nani?
muulizeni mengi
Mkuu kuna kijiji kinaitwa Kasinde Kata ya Kabungu nimeenda kutafuta shamba....... Niko nje kidogou I'd yako imenifurahishaHivi hiyo NICOL inakuweje? NMB wakilipa gawio la NICOL linaenda wapi? Waliokuwa na hisa NICOL waibuke wafatilie magawio haya nani ananchukua. ........ akati NICOL ilishakufa jee? Mfu huwa analipwa? Kama halipwi warithi wake ni kina nani?
Nafikiri The Boss una interest hapa nilikuona kwenye uzi fulani iliishia wapi kuhusu hisa za NICOL?
kama mambo ya hisa huyajuihueleweki
NICOl hapo ni upigaji unaendelea.Hivi hiyo NICOL inakuweje? NMB wakilipa gawio la NICOL linaenda wapi? Waliokuwa na hisa NICOL waibuke wafatilie magawio haya nani ananchukua. ........ akati NICOL ilishakufa jee? Mfu huwa analipwa? Kama halipwi warithi wake ni kina nani?
Nafikiri The Boss una interest hapa nilikuona kwenye uzi fulani iliishia wapi kuhusu hisa za NICOL?