Hivi ndivyo ninavyo ingiza kipato cha 30,000 kwa siku baada ya kubadili fikra zangu

Safi sana kwa kuiona fursa. Utapiga hatua kubwa sana ukiendelea na mentality hii

Everyone should be responsible 100%. These days kijana yoyote akiniomba hela (kupiga mzinga) simpi na badala yake namwambia aje home nimpe kazi ya kufanya ili atleast kumjengea disiplini ya kutumia fedha aliyoisotea kwa jasho lake mwenyewe
 
Nashukuru mkuu 🙏 uko sahihi kabisa
 
Ni copywriting na sio copyright

Sawa mkuu ni wazo pia kama uzi ume kaa kitangazo nielekeze niandike vipi ili maana yangu ieleweke vizuri maana wengine hatuna ujuzi wa Copyright naweza Kubadili ili nieleweke maana yangu huenda huja nielewa kutokana na kuto kuwa na taaluma ya uandishi.
Mmi siji tangazi hapa na sina nia kufanya hivyo Am sorry boss 🙏🙏🙏
 
Nashukuru sana mkuu,mimi bado sina ofisi maana ndo nime anza natamani niki pata mtaji nianze process za kusajili kampuni ya usafi ili niweze kupata soko pia katika taasisi ambako kwa sasa siwezi kufika.

Pia kuhusu hiyo 30,000 ni faida yangu maana matumizi ya dawa si makubwa hii dawa ina tumika kidogo sana naweza tumia Lita 3 tu kwa nyumba nzima ikiwa ni pamoja na Tiles na kama ni masink tu ni chini ya hapo pia dawa natengeneza mwenyewe kwa gharama ndogo tofauti na kununua.

Kuhusu gharama za uendeshaji sana sana kwa sasa ni nauli , chakula kabla ya kazi na baada ya kazi pamoja na dawa ndo vinavyo nigharimu.

Kuhusu Imani kwa wateja inatokana na aina ya mtu nnaye kutana naye na asiye weza kuni amini namuuzia dawa akiona matokeo yake ana nitafuta nimfanyie kazi.
ni dawa ya aina gani unayoitumia
 
85 Reactions
Reply
Back
Top Bottom