Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nipe namba zakoSawa karibu boss muhimu kupambana tu
Sawa mkuu nashukuru 🙏Boss ukihitaji kutengenezewa sticker,logo,banner na matangazo ya bidhaa zako tuwasiliane naweza kuunga tela kwa namna hiyo
Asante boss 🙏🙏Inapendeza sana...
Nashukuru mkuu 🙏 uko sahihi kabisaSafi sana kwa kuiona fursa. Utapiga hatua kubwa sana ukiendelea na mentality hii
Everyone should be responsible 100%. These days kijana yoyote akiniomba hela (kupiga mzinga) simpi na badala yake namwambia aje home nimpe kazi ya kufanya ili atleast kumjengea disiplini ya kutumia fedha aliyoisotea kwa jasho lake mwenyewe
Sawa mkuu ni wazo pia kama uzi ume kaa kitangazo nielekeze niandike vipi ili maana yangu ieleweke vizuri maana wengine hatuna ujuzi wa Copyright naweza Kubadili ili nieleweke maana yangu huenda huja nielewa kutokana na kuto kuwa na taaluma ya uandishi.
Mmi siji tangazi hapa na sina nia kufanya hivyo Am sorry boss 🙏🙏🙏
Ni typing error boss najua hiloNi copywriting na sio copyright
ni dawa ya aina gani unayoitumiaNashukuru sana mkuu,mimi bado sina ofisi maana ndo nime anza natamani niki pata mtaji nianze process za kusajili kampuni ya usafi ili niweze kupata soko pia katika taasisi ambako kwa sasa siwezi kufika.
Pia kuhusu hiyo 30,000 ni faida yangu maana matumizi ya dawa si makubwa hii dawa ina tumika kidogo sana naweza tumia Lita 3 tu kwa nyumba nzima ikiwa ni pamoja na Tiles na kama ni masink tu ni chini ya hapo pia dawa natengeneza mwenyewe kwa gharama ndogo tofauti na kununua.
Kuhusu gharama za uendeshaji sana sana kwa sasa ni nauli , chakula kabla ya kazi na baada ya kazi pamoja na dawa ndo vinavyo nigharimu.
Kuhusu Imani kwa wateja inatokana na aina ya mtu nnaye kutana naye na asiye weza kuni amini namuuzia dawa akiona matokeo yake ana nitafuta nimfanyie kazi.
Natengeneza mwenyewe dawa zangu nnazo tumia kufanyia shughuri za usafini dawa ya aina gani unayoitumia