hivi ndivyo nilivyopokelewa nilivyokwenda kumsalimia bibi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi ndivyo nilivyopokelewa nilivyokwenda kumsalimia bibi

Discussion in 'Jamii Photos' started by cheusimangala, Jan 25, 2011.

 1. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 2. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2011
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,758
  Trophy Points: 280
  Kwa bibi yako mko juu! Mpaka mna airport? Hongereni
   
 3. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  Hebu ukirudi njoo na matopetope nimeyaona hapo.....
   
 4. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  hii picha kiboko, ni wapi hapa///
   
 5. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  nitakuletea best ucjali.
  sema kingine.
   
 6. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  ndo hivyo tena,
  nasikia kwa bibi yako hata baiskeli bado ni vitu mnavyoahidiwa ktk kampeni.
   
 7. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #7
  Jan 26, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  hapo ni kwa bibi,niliyechukua jina lake.
   
 8. s

  shosti JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  uuuuuuuuwwww madude hayo na mimi,hapa nilipo mate yananidondoka Shossi nletee mpendwa wangu!
   
 9. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 3,193
  Trophy Points: 280
  Airport gani na ya wapi(jina) inayoruhusu wamachinga mpaka ndani ya uwanja kuwauzia wateja vitu kupitia dirishani, je madirisha ya hiyo ndege yanafunguka ili mteja na muuzaji wafanye biashara!!!????
   
 10. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #10
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,629
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  oooppss..... akhbari za huko sweatyyy... umenikumbuka kwa zawadi lakini?? nilikumiss ile mbaya wallah... lete storry..
   
 11. Jungumawe

  Jungumawe JF-Expert Member

  #11
  Jan 26, 2011
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 246
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  photoshop wizi mtupu
   
 12. BOLT

  BOLT Member

  #12
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo ni Pakistani hahahaha
   
 13. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #13
  Jan 26, 2011
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,215
  Likes Received: 2,077
  Trophy Points: 280
  Watu kwa kuchakachua, siwawezi. Ninavyojua mimi,
  1.Madirisha ya ndege hayafunguki.
  2. Ndege ya ukubwa huo pichani ikiwa parking ni ndefu sana kwenda juu na mtu hawezi kufikia bila ya msaada wa ngazi.
  3. Huwezi kuruhusiwa kuingia uwanjani kwa nia ya kufanya biashara kama hiyo pichani, kwa sababu za kiusalama.

  Photoshop kiboko!
   
 14. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #14
  Jan 26, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Photoshop in action.wajinga ndo waliwao.
   
 15. c

  chetuntu R I P

  #15
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hashycool jamani umenikumbusha mbali sana na matopetope.
   
 16. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #16
  Jan 26, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  za huku ni nzuri best,zawadi yako hata huitaji kuiulizia,wewe tena nisikuletee zawadi!asante kwa kunimiss,nami nilikumiss isivyo kawaida.
  story zipo nyingi acha nipumzike kidogo kisha nitakupatia michapo yote shosti wangu.
   
 17. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #17
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,629
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ooooh najihisi kama nimekutana na lulu hapa nilipo..... okay pumua mi niko ntakusbiri tuu wala sichoki habibty... mmm.jpg :)
   
Loading...